Junia ni nini ndugu?Nimepata mahali pakuchukuwa magunia ya TANGAWIZI ila nataka kujuwa bei ya kuuzia kwa gunia moja ni Tshs.ngapi kwa KARIAKOO?
ASANTENI KWA KUNIJIBU KWA WALE WANAOJUA BEIYAKE.
UNWEZA KUNI PM
Anamaanisha Gunia mkuu.Junia ni nini ndugu?
Anamaanisha Gunia mkuu.