newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
UPO WAPI IN Dar.uza hilo gari,nenda kanunue machine ya kutengeneza pavement blocks na tofali za umeme ,tafuta eneo anzisha biashara ya matofali na vifaa vya ujenzi,after 4years rudi hapa JF umwage party ya kutushukuru.
Biashara ya Tax ,public transport siyo biashara ya kufanya ukiwa na gari 1 au 2,inatakiwa uwe nazo 5 na kuendelea.vinginevyo hutapata faida na kila siku longo longo za madereva.
ukiangalia hata ktk nchi za ulaya tax huwa inamilikiwa na DREVA.