biashara ya taxi

UPO WAPI IN Dar.uza hilo gari,nenda kanunue machine ya kutengeneza pavement blocks na tofali za umeme ,tafuta eneo anzisha biashara ya matofali na vifaa vya ujenzi,after 4years rudi hapa JF umwage party ya kutushukuru.
Biashara ya Tax ,public transport siyo biashara ya kufanya ukiwa na gari 1 au 2,inatakiwa uwe nazo 5 na kuendelea.vinginevyo hutapata faida na kila siku longo longo za madereva.
ukiangalia hata ktk nchi za ulaya tax huwa inamilikiwa na DREVA.
 
hii ni biashara ya msimu.na kwa dar sijui ka itamlipa.genge linalipa iwapo watu wanadharau.kwa mtaji wa laki 4 unaweza pata faida ya 10000.mia
 
Bodaboda nazo zimechangia kazorotesha soko la tax ukiachia mbali gharama za mafuta na wingi wa tax.Kiuze hicho kicorola ubuni biashara nyingine unayoiweza ila isiwe haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…