TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 5,771 Reaction score 17,849 Jan 2, 2012 #1 Wakuu herini ya mwaka mpya! Mimi nina kagari kadogo (starlet) nataka nikafanye taxi. Naomba wenye uzoefu na biashara hii mnipe uzoefu na mbinu za hii biashara. Niko moshi. Asanteni.
Wakuu herini ya mwaka mpya! Mimi nina kagari kadogo (starlet) nataka nikafanye taxi. Naomba wenye uzoefu na biashara hii mnipe uzoefu na mbinu za hii biashara. Niko moshi. Asanteni.