Biashara ya taxi

Biashara ya taxi

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
5,771
Reaction score
17,849
Wakuu herini ya mwaka mpya!
Mimi nina kagari kadogo (starlet) nataka nikafanye taxi. Naomba wenye uzoefu na biashara hii mnipe uzoefu na mbinu za hii biashara. Niko moshi. Asanteni.
 
Back
Top Bottom