Biashara ya tende Misuli na Makobazi

Biashara ya tende Misuli na Makobazi

Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
Kama utaweza kauze mitaa makka na madina utapata riyal kibao.
 
Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
Screenshot_20241225-222118.jpg
 
Back
Top Bottom