hahaa umeghairi kuuza line tena ""?Mkuu nimeambiwa nisikate tamaa
Njoo Pm mkuuSawa mkuu nitakuja studio
Huyu ni mwizi?? ....kuwa makini mwanzisha madaChangmoto kubwa ya tigo pesa sio wizi sana mana mambazi huweza kutokea mara moja kwa mwaka but CHUMA ULETE ndio daily kama upo serious nicheki pm ukiwa na maelezo ya location, kiasi cha mtaji, nitakuambia cha kufanya bure kabisa mana hata mm nilikuwa napoteza zaidi ya lak3 kwa siku b4
Kama unahitaji ni pm ninazoMkuu niuzie mei Tu hizo line
Nitafte zipo pm zipo dsmUpo mkoa gani, nahitaji laini ya tigo na voda pesa. Mimi nipo Arusha
Laini ni pm kama unahitaji kuna dogo nilimchukulia kakataaMkuuu niuzie mm banda na laini
99% ya biashara za sisi wabongo weusi tunaajiri watu katika biashara ndogo hilo ni kosa kubwa!mhindi muarabu hafanyi ujinga huo.Siku mbili tatu kijana au binti kasepa na mtajiMchawi we mwenyewe
Biashara yenyewe ya kudunduliza halafu unaajiri mtu
Halafu hesabu za kuandika hivyo lazima unajichanganya mwenyewe
Wakati mwingine unakuta una kazi nyingine itakubidi uajiri99% ya biashara za sisi wabongo weusi tunaajiri watu katika biashara ndogo hilo ni kosa kubwa!mhindi muarabu hafanyi ujinga huo.Siku mbili tatu kijana au binti kasepa na mtaji
Cheki PM yako Mkuu Impongo kama sio "Ingerege"[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakati mwingine unakuta una kazi nyingine itakubidi uajiri
Nimekujibu ingeregere uwo mhila se mwenewa?Cheki PM yako Mkuu Impongo kama sio "Ingerege"[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]