Biashara ya Tigopesa inanifilisi

Biashara ya Tigopesa inanifilisi

Wewe tunakuita Nzi

Yani unatabia ya kuruka ruka
January unaanza na biashara ya kuuza mahindi December utamaliza kwa kiuza vitenge march tena utaonekana unauza juice

Labda ni nani aliekwambia kuwa hakuna biashara yenye changamoto?

Unatakiwa uangalie umekosea wapi ili usikosee tena
Kunawatu wanafanya biashara hiyo unayoona wewe aifai na pengine wanajuta kuchelewa kuianza maana wanapiga faida sio mchezo

Labda nikuhakikishie jambo moja tuu ndugu yangu
Biashara unayotaka kuifanya ya nafaka kunawatu hawataki hata kuisikia wanaiona ni biashara isiyo na faida tuu
Pambana mzee pambana hapohapo kazi kubwa mno ni kuanzaa mwanzo ndio mgumu izo changamoto huja na kuondoka kama ukiziondoa
Asante
 
Njoo studio tufanye muziki achana na tigo rusha. [emoji41] [emoji441] [emoji23]
 
Angalia hiyo miamala ya siku husika kuangalia huyo hela imeenda wapi. Pia kuna uzembe wa kumpa mteja pesa kabla sms haijaingia kwako hasa wale wanaotaka msaada wa kuwatolea.
 
Changmoto kubwa ya tigo pesa sio wizi sana mana mambazi huweza kutokea mara moja kwa mwaka but CHUMA ULETE ndio daily kama upo serious nicheki pm ukiwa na maelezo ya location, kiasi cha mtaji, nitakuambia cha kufanya bure kabisa mana hata mm nilikuwa napoteza zaidi ya lak3 kwa siku b4
Huyu ni mwizi?? ....kuwa makini mwanzisha mada
 
Biashara mzuri sna ya Tigo pesa ikiwa makin na maeneo gani unafanya haina hasala hela kupotea ni uzembe wako
 
Mchawi we mwenyewe
Biashara yenyewe ya kudunduliza halafu unaajiri mtu
Halafu hesabu za kuandika hivyo lazima unajichanganya mwenyewe
99% ya biashara za sisi wabongo weusi tunaajiri watu katika biashara ndogo hilo ni kosa kubwa!mhindi muarabu hafanyi ujinga huo.Siku mbili tatu kijana au binti kasepa na mtaji
 
99% ya biashara za sisi wabongo weusi tunaajiri watu katika biashara ndogo hilo ni kosa kubwa!mhindi muarabu hafanyi ujinga huo.Siku mbili tatu kijana au binti kasepa na mtaji
Wakati mwingine unakuta una kazi nyingine itakubidi uajiri
 
Back
Top Bottom