matatajungu Member Joined May 10, 2016 Posts 39 Reaction score 17 Aug 25, 2016 #1 Habary wanajamvi, Naomb mnisaidie elimu kidogo juu ya shughul ya tigo pesa pamoja na m-pesa. Na n kwa mtaji wa kiasi gan unaweza kufany shughul hii kwa ufanisi, location ni miyuji in Dodoma region.
Habary wanajamvi, Naomb mnisaidie elimu kidogo juu ya shughul ya tigo pesa pamoja na m-pesa. Na n kwa mtaji wa kiasi gan unaweza kufany shughul hii kwa ufanisi, location ni miyuji in Dodoma region.
sandraeli JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 1,431 Reaction score 2,392 Aug 25, 2016 #2 Na mimi nakaa apo apo ngoja nisubir majibu nikuige kuanzisha
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 Aug 25, 2016 #3 Nakushauri uende kwenye ofisi husika ya hizo kampuni ili upate maelezo ya kina
matatajungu Member Joined May 10, 2016 Posts 39 Reaction score 17 Aug 25, 2016 Thread starter #4 sandraeli said: Na mimi nakaa apo apo ngoja nisubir majibu nikuige kuanzisha Click to expand... Haya bhn Sandra
sandraeli said: Na mimi nakaa apo apo ngoja nisubir majibu nikuige kuanzisha Click to expand... Haya bhn Sandra