matatajungu
Member
- May 10, 2016
- 39
- 17
Habary wanajamvi,
Naomb mnisaidie elimu kidogo juu ya shughul ya tigo pesa pamoja na m-pesa. Na n kwa mtaji wa kiasi gan unaweza kufany shughul hii kwa ufanisi, location ni miyuji in Dodoma region.