Biashara ya toothpick, namna ambavyo charles forster aliweza kuwa millionaire

Hapa Tanzania bamboo unazipata wapi!!! Kwanza hakuna watu wanaootesha bamboo kibiashara. China.....bamboo ni biashara kubwa, watu wanaotesha kibiashara kabisa.
Jaribu kufungua hicho kiwanda baada ya muda utakosa malighafi
Ni kweli, ni ya kutafuta. Ila wewe tangaza uhitaji utaona itakapotoka popote
Hii nimekutana nayo Muleba.
IMG_20210606_160945_3.jpg
 
Hapa Tanzania bamboo unazipata wapi!!! Kwanza hakuna watu wanaootesha bamboo kibiashara. China.....bamboo ni biashara kubwa, watu wanaotesha kibiashara kabisa.
Jaribu kufungua hicho kiwanda baada ya muda utakosa malighafi
Was asking this several times, hii biashara demand ipo nje nje. Je akina Dewj wameshindwa kuwekeza??
 
Kwetu mtu anaweza kuwa na mtaji ila hajui cha kufanya!😂 Anaomba ushauri ana million 5 afanyie biashara gani!?
Hapa kwetu ubunifu umeishia kwenye kuchonga sendoz za ngozi na kacha
Kuna mdogo wangu anafanya hii biashara ya sandozi za ngozi ana miaka 5 Sasa anaifanya. Nataka nimuongezee nguvu nimuagizie machine kabisa awe na mafundi wake wanaomshonea maana naona anapata order mpaka kutoka South Africa, Kongo, Malawi na Burundi. Kisha baada yahapo nione itakuwaje .
 
Huyo kashafika mbali. Mpe boost itamtoa hio.
 
Back
Top Bottom