Biashara ya tution center italipa sana kuanzia 2016

Biashara ya tution center italipa sana kuanzia 2016

Elimu bure bila kuboresha miundo mbinu ni hatari,wanafunz watajazana mpaka ubaon,ratio ya mwalimu ni kubwa sanA
 
Naamini elimu itakuwa bora maana shule zitaimarishwa na walimu mori utapanda.maana madeni yote yatalipwa.
 
Back
Top Bottom