Biashara ya Uber, Bolt

Biashara ya Uber, Bolt

Kwaio hesbu yako ni kama vile mmiliki ameweka tu gari lake sehem au amemkopesha mtu na anamlipa kidogo kidogo bila riba kwa hiyo hesabu hakuna faida ambayo mmiliki anapata ni kama amemkopesha tu dereva hilo gari hesabu inayakiwa kwa mwaka tu iwe imerudi faida na pesa ya gari mkataba walau uwe mwaka mmoja
Kiasi cha makubaliano hupangwa na muda pamoja na thamani ya bidhaa.
Mfano km muda ni mwaka mmoja hesabu itakuwa ni kubwa sana na tafsir yake hata huyu dereva kwa experience ya hizi kazi atashindwa labda awe na kazi nyingine itakayomfanya aongezee ktk hesabu hapa tunaongea kwa experince ya hizi kazi
 
baada ya kufanya utafiti nimegundua wale wanaolalamika hii biashara hailipi ni wale madereva wa mkataba
Hapana wenye mkataba ni ngumu kulalamika maana mateso anayopitia anajua ni kitu gani anakwenda kukipata mbeleni.

Issue ni moja tu. Hii biashara ya online taxi(ubr, blt nk imepitia ktk vipindi tofauti hapa tz.
Kipindi cha ujio wa Uba hii ilikuwa ni biashara ambayo iliwaingizia kipato cha uhakika madereva na hata historia ya hesabu kwa wamiliki wa magar ilikuwa kubwa na wala haikuwa tatizo.
Wakajitokeza taxfy kukawa na competition kati yao bei haikuwa mbaya sana japo walianza kushusha bei na offer kibao kwa wateja kilio kikaanza kwa madereva na huo ndio ukawa mwanzo na mwendelezo wa vilio kwa madereva na ukawa mwendelezo wa hizo kampuni kushusha bei ili kupata wateja hiyo ni ktk competition yao ambayo kilio kinabaki kwa dereva hii ikapelekea madereva wengi wa zamani kuachana na hii biashara hasa waliokuwa na nafasi ya kupata kazi nyingine.

App nyingine zikaongezeka wengine wakabadili majina kutoka taxfy had blt mala png, litle rid, indriv nk wao wanalenga kupata wateja ambao ni abiria wakiamin madereva huwa wapo tu kitu ambacho ni kilio kwa hawa madereva mf kuna trip utashangaa karne ya 21 hii gari private full A/C na adha ya kudharauliana trip elfu 3 na umbali wake hata bodaboda wa kawaida atakataa hiyo safari.

Asilimia kubwa ya madereva waliobaki hasa wa gari za hesabu ni wale wa ku ji risk ilimradi kupata chochote hapo kuna kukesha na safari za aina yoyote ukubali tu ilimradi chochote kipatikane ambacho kina mgawanyo mkubwa wenye App uwalipe, Boss yaani mmiliki wa gari umlipe na mafuta juu yako na hapo unatakiwa upate chochote cha kurud nacho nyumbani.

Historia ya kwamba biashara hii inalipa inaturejesha nyuma kipind cha uba na hicho ndio kitu kilichobaki kichwani kwa wamiliki wengi wa magari anataka hesabu kubwa.
Ukweli ni huu ukiwa mtaani huna kazi huyo boss hata ukimwambia akupunguzie akikataa nakwambia dereva hawezi kulikataa hilo gari utalizishwa week 3 kinachofuata ndio utasikia madereva niwasumbufu na huyo dereva lengo lake ni kuwa barabarani ili akutane na wenzake wampe connection ya wapi atapata gari ya bei ya hesabu nafuu kwahiyo gari ulilompa linabaki mateso ktk mapito yake ya kutafuta lingine.

Ni vema hao wamiliki wa magari wakaifahamu biashara hii kuliko stori za kwamba inalipa sana.

Mmiliki mwingine wa gari anakwambia niletee pesa kwa siku, [emoji1787] kuna muda hii biashara unaweza ukarud na elfu 15 tu ambayo utajipa moyo kesho nitaanzia mafuta. Hii inapelekea madereva wengi wa hizi gari muda wote mshale wa mafuta upo chini na hutembea na vidumu. Pia utakuta App zimejaa unatakiwa ulipe deni ili uendelee na kazi na hiyo pesa uliyonayo boss nae anaitaka kwa siku lazima mgogoro utokee.
Mmililiki mwingine bado hesabu ni kubwa na anamwambia dereva ndio mhusika wa service kinachofuata hapo ni kuharibiana engine kwa oil za kupima.Wengi wamekumbana na hii adha magari yao kuharibiwa.

ZINGATIO:

1. Uwe mmliki wa gari na dereva uwe mwenyewe.
2. Pata Dereva anaejitambua huku mmiliki ukiwa unaielewa hii kazi usimuadhibu kwa ukubwa wa hesabu
3. Toa mkataba upokee pesa tu matunzo ya gari dereva atajua yeye mwenyewe. Maana aliyehitaji gari ya makataba atakuwa kajipanga wengine wana biashara pembeni za kuongezea hesabu za mkataba.

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Shukran, umechanganua vizuri. Mimi naona hiyo namba 1 ni nzuri, Kama ndio hivyo ni bora uendeshe mwenyewe.
 
Ukiwa mmiliki wa gari na unaendesha mwenyewe... Inalipa kwa kiwago gani?
According to your research
 
Habari wanajukwaa

Mimi ni muajiriwa sehemu fulani, kutokana na changamoto za kazi nilitamani nijiajiri mwenyewe kupitia biashara ya udereva wa mtandao.

Naombeni ushauri wenu juu ya hii biashara kama inalipa kwa kiasi gani na changamoto za biashara kiujumla.

Asanteni

Habari kaka mimi nahitaji kazi ya udereva iwe ni kuleta hesabu kila siku mkataba au hata bolt nipo tayari napatikana kigamboni leseni yangu ni daraja A B D E nina uzoefu wa miaka mitano barabarani
 
Okay.
Unaushauri gani kwa mtu anayetaka kuanza hii biashara?
Ambaye anamiliki gari lake mwenyewe.

Kaka usihangaike sana dereva mzoefu nipo hapa nina uwezo wakustahimili mazingira yeyote ya kazi nimekuwa nikiendesha taxi bubu na kupeleka hesabu kwa siku kwa kipindi cha miaka 4 sasa hivyo nahitaji sana gari yakufanyia kazi kwasasa iwe mkataba ama hesabu nakuhakikishia asilimia 100 hutojuta
 
Habari wadau

Nimepitia nyuzi nyingi hapa jamii forum kuhusu biashara ya uber na bolt
inaonekana hii biashara inalipa
ingekuwa hailipi kusingekuwa na matangazo ya madereva kuomba gari za mkataba.
nipo mbioni kuagiza gari kwa ajili ya uber na bolt.
 
kam Gar y hesabu ipo ..nchek 0628729873
na nina aaccounts zote mbili uber na bolt
ist \ vitz
 
Habari wadau

Nimepitia nyuzi nyingi hapa jamii forum kuhusu biashara ya uber na bolt
inaonekana hii biashara inalipa
ingekuwa hailipi kusingekuwa na matangazo ya madereva kuomba gari za mkataba.
nipo mbioni kuagiza gari kwa ajili ya uber na bolt.
Nimejaribu kutembelea kurasa za bolt naona magari wanayo hitaji ni kuanzia 2006 au mapya zaidi, hili lipoje wadau, nina stalert ya mwaka 2000 naweza itumia kama bolt?
 
Back
Top Bottom