Biashara ya Uber, Bolt

Biashara ya Uber, Bolt

Biashara kichaa hiyo
IST Bei yake ni mil 13
Hesabu kwa wiki 140,000
Kwa siku maana yake ni 20,000
Mil 13 ni sawa na bodaboda 6
Bidaboda ikiwa mpya hesabu yake ni 7,000 kwa siku
Zikiwa 6 inakua jumla ya 42,000
Sasa si bora nifanye biashara ya bodaboda kuliko IST
 
Tuliza kichwa hakuna biashara kichaa ulichokieleza hapo ni sawa na wale jamaa zetu wa motisha za kilimo cha matikiti

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Biashara kichaa hiyo
IST Bei yake ni mil 13
Hesabu kwa wiki 140,000
Kwa siku maana yake ni 20,000
Mil 13 ni sawa na bodaboda 6
Bidaboda ikiwa mpya hesabu yake ni 7,000 kwa siku
Zikiwa 6 inakua jumla ya 42,000
Sasa si bora nifanye biashara ya bodaboda kuliko IST

Umeweka kwa mtu anaepokea hesabu, weka kwa mmiliki anaendesha mwenyewe gari yake
 
Biashara kichaa hiyo
IST Bei yake ni mil 13
Hesabu kwa wiki 140,000
Kwa siku maana yake ni 20,000
Mil 13 ni sawa na bodaboda 6
Bidaboda ikiwa mpya hesabu yake ni 7,000 kwa siku
Zikiwa 6 inakua jumla ya 42,000
Sasa si bora nifanye biashara ya bodaboda kuliko IST
Hayo ni mawazo yako sio lazima tufanane
 
Biashara kichaa hiyo
IST Bei yake ni mil 13
Hesabu kwa wiki 140,000
Kwa siku maana yake ni 20,000
Mil 13 ni sawa na bodaboda 6
Bidaboda ikiwa mpya hesabu yake ni 7,000 kwa siku
Zikiwa 6 inakua jumla ya 42,000
Sasa si bora nifanye biashara ya bodaboda kuliko IST
Kupanga ni kuchagua
 
Back
Top Bottom