Biashara ya Uchawi Tanzania

mi siamini maana wahenga walisema , amjuaye mchawi naye ...........
 
Pasipo kuwa mchawi huwezi kujua hizi ki2.
 

Hapo kwenye wateja umesahau wanasias
 
Muliken sehemu zote, cku hiz karibia watu wote kwny kila nyanja ni wachaw labda mtoto alyezaliwa leo
 
Jana usiku misa ya Pasaka ilikuwa inafanyika Tanga kitanda live on radio. Yule Askofu akasema katika mahubiri yake:watoto wengi wadogo wanatekwa lakini polisi hawatuelezi hatima yao.Tunaombwa tuelezwe isije ikawa kuna ajenda ya siri kuhusu hawa watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…