SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Kili ni 1. Kwenye uchawi ulioshindikanaHivi kuna jamaa ina abudu uchawi kwenye hili taifa kama jamii ya wasukuma..? Na kanda ya ziwa kwa ujumla..? Vipi kule sumbawanga. Vipi maiaji ya vikongwe pale shinyanga..? Vipi mauaji ya albino umeyasikia Tanga, kilimanjaro..?