Biashara ya Uchawi Tanzania

Hivi kuna jamaa ina abudu uchawi kwenye hili taifa kama jamii ya wasukuma..? Na kanda ya ziwa kwa ujumla..? Vipi kule sumbawanga. Vipi maiaji ya vikongwe pale shinyanga..? Vipi mauaji ya albino umeyasikia Tanga, kilimanjaro..?
Kili ni 1. Kwenye uchawi ulioshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…