Biashara ya udalali wa kusajiriwa (Dar)

Biashara ya udalali wa kusajiriwa (Dar)

Hha ha watu ka wale wanatia changamoto sana biashara
Ww haupo serious unawachora watu tu. Nimempa jamaa namba zako anakucheki wala huna husomeki, mwishowe jamaa wa hapa hapa JF nimemuunganisha na wameshamalizana. We hii ishu bado haujawa tayari, unawahangaisha watu na ndio nyie mnafanya watu wa mitandaoni kuonekana wa hovyo kwenye business
 
Nahisi ungekuja mwenyew tungeelewan but jamaa yko pia hna approach nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom