Mr Discount
Member
- Oct 16, 2016
- 83
- 105
Ndugu wana JF mnanishaurije nahitaji anzisha service ya udalali (kampuni ya kuuza, kupangisha n.k) vipi mazingira ya dar yanaruhusu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazingira ya Dar, Ndio yanaruhusu sana.vipi mazingira ya dar yanaruhusu?
Shukran mkuuMazingira ya Dar, Ndio yanaruhusu sana.
Na inalipa iwapo unajua kutumia mitandao ya kijamii kuwafikia wateja wako.
Kila lakheri ndugu.
Nilihisi nikijisajili naweza piga hata dili zile za kueleweka broKampuni ya nini we ingia tu mzigoni udalali hauhitaji ofisi
Anza kwanza kimya kimya uone uelekeo then uamue km utasajili ama la....!Nilihisi nikijisajili naweza piga hata dili zile za kueleweka bro
Sent using Jamii Forums mobile app
kama unataka kujenga trust na kutengeneza mkwanja zaidi, ofisi ni muhimu. Ila kama ni hela tu ya kula na kusogeza siku hamna haja ya ofisiAnza kwanza kimya kimya uone uelekeo then uamue km utasajili ama la....!
Shukran mkuu kwa ushauriAnza kwanza kimya kimya uone uelekeo then uamue km utasajili ama la....!
Shukran sanakama unataka kujenga trust na kutengeneza mkwanja zaidi, ofisi ni muhimu. Ila kama ni hela tu ya kula na kusogeza siku hamna haja ya ofisi
Unataka uwe kama yono utaweza kupambana nakina dokta shika?Nilihisi nikijisajili naweza piga hata dili zile za kueleweka bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Hha ha watu ka wale wanatia changamoto sana biashara
Hahahaha ndio ujipange nawala usiwe unachagua nini chakudalalia kama vipi uanze nakuomba dili lakudalalia yale makontena maana naona yona wameshindwa kaziHha ha watu ka wale wanatia changamoto sana biashara
Ww haupo serious unawachora watu tu. Nimempa jamaa namba zako anakucheki wala huna husomeki, mwishowe jamaa wa hapa hapa JF nimemuunganisha na wameshamalizana. We hii ishu bado haujawa tayari, unawahangaisha watu na ndio nyie mnafanya watu wa mitandaoni kuonekana wa hovyo kwenye businessHha ha watu ka wale wanatia changamoto sana biashara
Nahisi ungekuja mwenyew tungeelewan but jamaa yko pia hna approach nzuriWw haupo serious unawachora watu tu. Nimempa jamaa namba zako anakucheki wala huna husomeki, mwishowe jamaa wa hapa hapa JF nimemuunganisha na wameshamalizana. We hii ishu bado haujawa tayari, unawahangaisha watu na ndio nyie mnafanya watu wa mitandaoni kuonekana wa hovyo kwenye business
Kakutukana? Kakudharau? Au ulitakaje? Jamaa mbona namjua humble sanaNahisi ungekuja mwenyew tungeelewan but jamaa yko pia hna approach nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app