Biashara ya ufungaji wa kontena yaani container house

Biashara ya ufungaji wa kontena yaani container house

outsider man

Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
16
Reaction score
11
Habari wana JF,
Ninapenda kuwashirikisha/ kuwatangazia biashara yangu nliyojiajiri kwa muda wa miaka miwili sasa. Mimi ni mhandisi wa ujenzi nafanya design & installation ya containers mbali mbali Tanzania na nje ya nchi. Containers hizi zipo za aina mbali mbali;

Steel customized containers, Detachable containers, Flat pack containers, K-type containers, T-type containers na Folding containers.

1. Zipo container za chuma yani customized steel containers zenye urefu wa 20ft na 40ft. Ambapo mteja anaemiliki container yake na anahitaji kufungua ofisi ya biashara kutumia container basi tunamfanyia customization kulingana na atakavochagua design yaani matumizi tofauti na ofisi mfano Accomodation, kitchen, bar, construction site camps, canteen, ablution, container hall, container gym container shop, container dormitory n.k


2. Detachable containers| Flat pack| K-type prefabricated| T-type prefabricated & Folding containers ambazo tuna import mzigo kutoka china kwa suppliers waaminifu sana. Containers hizi zinakuja fully designed kulingana na matumizi ya mteja pamoja na furniture & appliances zote za ndani.

Faida ya hizi containers ni kama ifuatavyo:
1. Fire proof
2. Low cost, re-usable and easily to move
3. Sound insulation
4. Usafirishaji wa haraka
5. Water proof
6. Heat insulation
7. Short construction period
8. High quality and durable material

PIa, ukiachana na containers tunafunga Pre-engineered Buildings kwa matumizi ya factory, warehouse, industries etc.

Kwa maelezo na mawasiliano zaidi:
☎️+255753069148
📩 Email: ndeweroinvestments@gmail.com

Asanteni na Karibuni sana!
 

Attachments

  • IMG_7046.jpeg
    IMG_7046.jpeg
    323.8 KB · Views: 5
  • IMG_0792.jpeg
    IMG_0792.jpeg
    1.1 MB · Views: 6
  • IMG_9621.jpeg
    IMG_9621.jpeg
    901.7 KB · Views: 5
  • IMG_6729.jpeg
    IMG_6729.jpeg
    865.6 KB · Views: 6
  • IMG_7474.jpeg
    IMG_7474.jpeg
    761.6 KB · Views: 8
  • IMG_7473.jpeg
    IMG_7473.jpeg
    922.7 KB · Views: 6
  • IMG_8027.jpeg
    IMG_8027.jpeg
    1.4 MB · Views: 7
  • IMG_8026.jpeg
    IMG_8026.jpeg
    1,016.3 KB · Views: 9
  • IMG_7986.jpeg
    IMG_7986.jpeg
    849.4 KB · Views: 3
  • IMG_7119.jpeg
    IMG_7119.jpeg
    608.6 KB · Views: 5
Taja gharama boss. Hata mimi nimependa hii ila gharama yake vipi na sikuhizi kuachana na kupiga simu. Simple links za WhatsApp tutengenezee tuclick tuje tubonge.
 
Taja gharama boss. Hata mimi nimependa hii ila gharama yake vipi na sikuhizi kuachana na kupiga simu. Simple links za WhatsApp tutengenezee tuclick tuje tubonge.
Sawa mkuu nmekuelewa.
Kwanza kabisa namba ya simu nliyoweka ni whatsapp business ambayo link yake ni hii apa wakuu 👇🏿

Message ndeweroinvestments on WhatsApp. ndeweroinvestments
 
Wadau naombeni connection nikuze biashara yangu
uneweka Maelezo Meeeengi na picha!
ila Nakushauri Weka Website au Instagram account.
2.Picha za Muonekanobwa ndani ya a container ni Muhimu sanaa na Hujaweka!
 
uneweka Maelezo Meeeengi na picha!
ila Nakushauri Weka Website au Instagram account.
2.Picha za Muonekanobwa ndani ya a container ni Muhimu sanaa na Hujaweka!
Nashukuru kwa muongozo mkuu.

Tunapatikana instagram kupitia link hii hapa 👇🏿

 
Wakuu naendelea kupokea message mbali mbali za wateja kuhusiana na uagizaji wa hizi Prefab containers kutoka China. Hizi hapa ni link za whatsapp Business ambapo utakuta Catalog yenye bei za kila container package kasoro gharama za usafirishaji na ufungaji ifikapo site.



Karibuni whatsapp 👇🏿
Message ndeweroinvestments on WhatsApp. ndeweroinvestments

Karibu instagram 👇🏿
 
Prefabricated Flatpack Container building with Two storeys - inner view
IMG_1235.jpeg
 

Attachments

  • IMG_1240.jpeg
    IMG_1240.jpeg
    412.9 KB · Views: 2
  • IMG_1239.jpeg
    IMG_1239.jpeg
    265.4 KB · Views: 2
  • IMG_1238.jpeg
    IMG_1238.jpeg
    276 KB · Views: 2
  • IMG_1237.jpeg
    IMG_1237.jpeg
    363.1 KB · Views: 1
  • IMG_1158.jpeg
    IMG_1158.jpeg
    239.9 KB · Views: 2
Zifuatazo ni Bei za container houses (pasipo usafirishaji kutoka China mpaka site ya mteja)

-Bei zote zimegawanyika katika madaraja matatu yaani Basic, Standard na Premium kulingana na ubora wa bidhaa na baadhi ya reinforcements/ members

1. Detachable container houses
Basic price: $1460
Standard price: $1920
Premium price: $2260

2. Folding container house
Basic price: $1210
Standard price: $1500
Premium price: 1950

3. Flat pack container house
Basic price: $1590
Standard price: $1920
Premium price: $2100

Mambo ya kuzingatia wakati wa kuagiza mzigo

1. Mteja atahusika na usafirishaji wa bidhaa kutoka China mpaka site kwake
2. Mteja atasaidiwa kufatiliwa mzigo wake mpaka kumfikia site
3. Tutampa mteja gharama za ufundi mzigo utapofika site
4. Mteja anashauriwa kuagiza mzigo wa container houses kuanzia pc 8 na kuendelea ili kupunguza gharama za usafirishaji kwani zinapokua chache ni hasara kusafirisha kwani gharama zitakua juu sana

Tunawakaribisha sana!

Tuwasiliane kupitia
+255753069148
+255658407085

Whatsapp: ndeweroinvestments

Instagram:
 
Ninauza Nyumba Kibaha - Pwani

Vyumba viwili , 1 master, 1 normal BR,
Sebule kubwa
Dining
Kitchen
Public washroom (choo)
1KM kutoka morogoro road
Maji, UMEME vyote vimeunganishwa na viko vizuri

“Hakuna udalali, nyooka kwenye point…bei ya kuanzia ni milioni 40….maelewano yapo kidogo” nicheki kama una hiyo pesa na unahitaji nyumba TU 0658407085
 
Back
Top Bottom