Biashara ya ugoro inalipa sasa hivi

Biashara ya ugoro inalipa sasa hivi

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Amani ya bwana iwe juu yenu.
Siku bana ugoro unaliwa na vijana
Na mademu kwa wingi sana.
Nataka nichangamkie fursa y kuuza maana watumiaji wameongezeka sana.
Ila unanuka itabidi ili kuvuta wateja uuchanganye na pafyum.
Cheki majina yake cku hizi hauitwi ugoro tena utaskia
Geji
Dawa
Ngusujii
Gambe
tope nk
 
Hivi biashara ya ugoro kisheria imekaaje??
Ni biashara haramu kama bange au mirungi na madawa mengine??

Maana naona kuberi inauzwa mitaani kwa uwazi hamna shida.
 
Hivi biashara ya ugoro kisheria imekaaje??
Ni biashara haramu kama bange au mirungi na madawa mengine??

Maana naona kuberi inauzwa mitaani kwa uwazi hamna shida.
Ile tumbaku tena zao la biashara.haiko ktk narcotics
 
Back
Top Bottom