A
Anonymous
Guest
Hapa Mbezi Luis, Karibu na soko ambalo linapakana na Shule ya msingi Mbezi Kuna bar na gest ipo karibu na soko kwa nyuma ya soko, bar hii inaitwa Lubumbashi na maeneo yake ya jirani kunafanyika biashara ya ukahaba waziwazi mchana na usiku, utakuta wadada wamejipanga wanauza miili makundi kwa makundi.
Maeneo haya kuna makazi ya watu ambao wana watoto wadogo, watoto hao wanashuhudia mambo ya ajabu yakifanywa na makahaba kama kuonesha viungo vyao ili kuvutia wanaume wanaofika hapo kuwachagua ili kuwanunua.
Pia eneo hilo lipo karibu na shule japo wakati wa mchana idadi ya akahaba si wengi kama usiku kuanzia saa 1 ila wanakuwepo na ni niia ya wanafunzi kupita kwenda shule na kurudi nyumbani hivo wanashuhudia biashara hiyo ikifanyika na kuharibu maadili yao.
Kwa wakazi wa eneo hili ni kero kubwa sana, hasa tunaposhuhudia wauza miili wakiwa wanafanya biashara mbele ya nyumba na kuharibu maadili ya jamii yetu, tena wengine ni mabinti wadogo sana kuanzia miaka 15 nao wapo wanauza miili katika eneo hilo.
Serikali tunaomba msaada wa kuwaondoa watu hawa maana wakati mwingine wanafanya hata ngono katikati ya mitaa etu huku wakiwa wanawauzia walevi wa hapo bar ni mambo ya aibu sana yanafanyika hapo.