KERO Biashara ya Ukahaba Mbezi Mwisho, Kwenye Bar ya Lubumbashi na maeneo yake ya jirani ni hatari kwa maadili ya watoto na kero kubwa wakazi wa eneo hili

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Watoto wanafanya nini baa! Watoto wafukuzwe baa nafasi zao wachukue baba zao.
 
Hivi kama unatoka Gongo la mboto napanda gari za wapi na nashukua wapi??
Njoo hadi mbezi mwisho, shuka then chukua daladala za kwenda Kawe/Goba, shuka kituo cha kwanza(shule), upande huo huo kuna soko, tembea upande huo wa soko hadi ulivuke, then utakutana na vitu vyenu🤣
 
Hama.
Asante kwa kusanua chimbo
 
Maambukizi ya UGONJWA HATARI WA UKIMWI ni mkubwa sana kwwnye eneo jilo.
Ukimwi njenje.
ARVs ni mateso epuka ukimwi.
 
mkuu unakereka nini watu wanapata utamu na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…