KERO Biashara ya Ukahaba Mbezi Mwisho, Kwenye Bar ya Lubumbashi na maeneo yake ya jirani ni hatari kwa maadili ya watoto na kero kubwa wakazi wa eneo hili

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Njoo hadi mbezi mwisho, shuka then chukua daladala za kwenda Kawe/Goba, shuka kituo cha kwanza(shule), upande huo huo kuna soko, tembea upande huo wa soko hadi ulivuke, then utakutana na vitu vyenu[emoji1787]
Asante saana mkuu. Wewe motoni moja kwa moja aisee
 
Uendeshaji wa Madanguro ni Kosa la JINAI,Nenda Polisi Fungua Kesi UWE na RB,Polisi waje wawakamate wawapeleke Mahakamani Wewe Uwe Shahidi kwamba Uliwaona wakifanya Ukahaba Wapelekwe Segerea Hapo Jirani.
hana ushahidi zaidi ya kuwaona wamesimama wamejipanga wamevaa viguo vifupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…