Biashara ya ukopeshaji pesa kwa riba

Asiporudisha ni mahakamani, alichukua 150000 ,aliniazima anirudishie baada ya mwezi mmoja. Sifanyi biashara kwani ningetaka faida. Ndugu hakimu, anirudishie pesa yangu niliyomwazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uzito wa kg ngapi mkuu?
Huwa hufanyi mazoezi?
Una kitambi?
Hii biashara ni gym nzuri sana[emoji851]
Kila la kheri!

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee, acha kumtisha. mm hii biashara nmefanya na ina pesa mnooo japo nlikuja kudhurumiwa pesa zangu nyingi sana nkaachana nayo. ila nshajua nlipokoseaga

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Loan sharking ni dhambi.Watu huwa wanachomewa nyumba zao na kutekwa na wanaowadai.Kuna jamaa alikatwa mapanga usiku kwa sababu ya biashara hii.
yeah ndo changamoto zake hzo but hupaswi kuzikimbia bali unapaswa kuzikabili

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Mtu yoyote anayekopesha kwa riba ni dhulma haijalishi kubwa au ndogo.

Pili dunia ya Sasa ukitoa pesa kiungwana watu hawana wema hawakulipi kwahyo uchaguzi ni wa mtu binafsi .hakuna mtu anayelazimishwa kukopa
We jaribu wewe afu uwe mjanja mjanja wa kutegea mtu akishindwa siku mbili tu!!! uchukue mali yake,ni kwei utakua na haki lakini pia utakuja kutuhadisia mengine hapa kwamba aliyekukopa pesa tena kakujeruhi..hii dunia ukiwa na peaa na wengine hawana usidhani ndo imekua yako na wengine dunia iwahusu..we jaribu tu badala ya porojo

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
hii bihashara buanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara jamaa yangu anapiga sana mpunga vikosi kadhaa vya jeshi anakopesha wanajeshi, wale jamaa sio wasumbufu na wakipata pesa zao wanalipa fresh, Waalimu washakuwa matapeli watakukimbia hata wakikuachia ATM wanahamisha kwa Mobile Banking
 

We kiumri bado unakula kwa wazazi,hujui wadaiwa tunaishije huku mtaani.

Kua uyaone.
 
Kwanza Mtu alofikia kua manager wa bank hawezi fanya upuuzi Kama huu! Pili hawa wakopesaji tamaa wanaoweka riba za kipuuzi binafsi nimewahi wapiga Kama Mara mbili kwa kufikishana polisi na mahakamani na Kuna watu nimewasaidia kuwapiga Kama Mara 5. Ukijua Sheria raha Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdaiwa akienda mahakamani utoboi bro [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uliofanya ni utapeli

Kama mmekubaliana kwa riba yoyote, bila kujali ni kubwa kiasi gani unapaswa kulipa, kama uliona riba ni kubwa usingekopa

Lakini Unaposema mtu akikopa, ki kawaida, yaani bila riba (kwenye makaratasi ikionekana ni bila riba) halafu kesi ikienda mahakamani utalipa tu, maana sheria pia inawalinda watu wanaokopesha kirafiki (si kibiashara)

Mwisho kukataa kulipa deni la mtu ni dhulma, na si kila mtu huwa anamwachia Mungu Mkuu, ni ushauri tu kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzijua Contract Laws ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alikopa shilingi milioni 2; malipo kwa mwezi ambapo anatakiwa alipe milioni 2 na 320,000/= kama riba. Ikatokea alishindwa kulipa miezi 6 kwani alipatwa na dharula. Hivyo alivyorudi tena kulipa akapewa hesabu zifuatazo: a/ Mkopo halisi milioni 2, b/Riba 320,000/= x miezi 6 = 1,920,000/=, c/Faini 20,000/= x siku 30 x miezi 6 = 3,600,000/=, d/Malipo fomu ya maombi 50,000/= x miezi 6 = 300,000/= Jumla anatakiwa kulipa Shilingi 7,820,000/=. Yapata miezi 4 sasa jamaa hawajafikiana muafaka namna ya kumalizana, dhamana ilikuwa ni kadi ya gari ya mkopaji. Hatahivyo mkopeshaji anasema thamani ya gari haifiki deni la milioni 7 na laki 8 elfu 20. Bado wanalumbana tu, hawajapelekana mahakamani, ingawa mkataba ulijazwa. Kwa jumla biashara hiyo ni changamoto ingawa riba ni kubwa sana, faida kwa mkopeshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…