CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Wengine anakupa ATM Card yake na ikikaribia mwisho wa mwezi anaenda kusema kule bank kwamba amepoteza card yake na mwishowe pesa yake ataitolea ndani(counter).
Unajua usumbufu wa kupotelewa na kadi ya bank wewe? Na utakuwa unaenda kila mwezi kusema umepotelewa na kadi?
HIVI kwann akili zetu zinawaza kwenye low capacity kiasi hiki? Mtu mzima unaanze kusema ataenda Bank kusema amepoteza kadi kisa 100k? Utaenda mara ngapi? Kwa taarifa yako wakopaji wa kwenye hizo biashara huwa addicted sana yaan hawaachi na huwa na urafiki mkubwa na mkopeshaji.
Ni ngumu sana kwa hivyo ulivyosema.. ALWAYS WAKOPAJE WA HUO MFUMO NI WATU WENYE TAMAA HIVYO NI NGUMU SANA KUWATOA.