Biashara ya ukopeshaji pesa kwa riba

Biashara ya ukopeshaji pesa kwa riba

Mkuu anza kukopesha kwa kina mama ama ama kikundi ambao wanahitaji pesa za kudouble ama kuweka akiba ili wapewe mkopo taasisi flani.

Pale wanapopokea pesa zao na wewe huyo, Unachukua chako.

Na hii unawapa wale ambao wana uhakika ndani ya wiki mmoja pesa watakuwa wamepata.riba (30%)
i wish hii post+comment yako ingekuep0 kabla ya mwezi wa 11 mwaka 2019. asee kilichonitokea sikai niamini kila nikikumbuka mtu from uMILLIONAIRE to nothing inauma mnoooo yaan

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
hii biashara n nzur ila lazma ujipange uskurupuke... mm nlikopesha wtu wakakausha mpaka leo lakn kuja mji fulan hv jamaa anafanya hii buzness na ana bonge la maisha mzee

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Huyu yeye anafanyaje mkuu
 
Ana leseni kutoka benki kuu? Kama hana basi atakuwa anafanya biashara haramu na kuna siku itam-cost sana. Kuna watu wameingia kwenye matata kwa sababu ya kufanya hii shuguli bila leseni halali. Na mara nyingi hutokea mkopeshaji atakapokutana na mkopaji jeuri na kuamua kuuza mali yake. Mkopaji akimua kwenda mbele ya sheria basi vinafumuka vitu vingine amabvyo vitabaki vinamshangaza na kumliza mkopeshaji.
Hawezi kuuza mpaka wewe useme mweny mali kwamba uza nimeshindwa kulipa. Tofauti na hapo ulipe pesa za zake akupe Mali yako.
 
Huyu anafanana na Zack finance.
Yeye pia hufanya.

Japo yeye riba zake ni 30%
Alinifilisi sana mwaka niliomalizia chuo nilikuwa natafuta pesa ya kwenda kulimia
Nilijikuta kila kitu nimekiweka kwake bond.

Hii njia nzuri lazima vitu vile ufight uvirudishe maana unakuta umeweka flat ya laki 6 na nusu jamaaa anakukopesha laki mbili na nusu.
Usipofanya hivi watu hawakulipi pesa . Unakopesha wanasepa. ila njia hii wanakutafuta mwenyewe.
 
Hawezi kuuza mpaka wewe useme mweny mali kwamba uza nimeshindwa kulipa. Tofauti na hapo ulipe pesa za zake akupe Mali yako.
Nimeelewa sana ila wakorofi kwenye madeni wapo. Na hasa watu wakijua hana leseni wanaweza kumhangaisha.Ila ndiyo hivyo Bongo ukiogopa sana huwezi kula. Afanye lakini awe makini sana.
 
Habari wana Jamiiforums

Kwa mtu ambaye anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa riba tunaomba atupe ikoje na hasara zake zikoje na jinsi ya kutatua izo changamoto.

Natanguliza shukrani.. Maana nimevutiwa sana natamani niifanye

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni biashara inayolipa sana, ni kati ya Biashara Nzuri sana, ila mwisho wake ni mbaya sana! I naleta vilio, magomvi na kuharibu mahusiano!

Kama wewe ni mtu tu mwenye concious na Imani ya sini yeyote, tafuta namna iliyonyoka zaidi ya kutafuta pesa
 
Huyo anafanya local ndo maana anatoa riba ya 50% kwa mwezi ina maana kwa mwaka riba ni 600%.
BOT walitengeneza micro credit act 2018 wanaziregulate sana hizi microfinance.
Sasa hizi zote zina same interest rate,masharti moja na
zote zinakuwa monitored na CRB hao wa kuwa na riba ya 50% kwa mwezi ni maharamia wa mtaani.na ili uwafanyie watu hivyo inatakiwa uwe na moyo mgumu sana roho mbaya maana kawaida mtu amayekopa laki kwa kulipa laki na nusu na akapelekea tv ya nchi 32 amini nakuambia huyo ana tatizo kubwa na kahangaika kote amekosa hana jinsi tu.
Ana leseni kutoka benki kuu? Kama hana basi atakuwa anafanya biashara haramu na kuna siku itam-cost sana. Kuna watu wameingia kwenye matata kwa sababu ya kufanya hii shuguli bila leseni halali. Na mara nyingi hutokea mkopeshaji atakapokutana na mkopaji jeuri na kuamua kuuza mali yake. Mkopaji akimua kwenda mbele ya sheria basi vinafumuka vitu vingine amabvyo vitabaki vinamshangaza na kumliza mkopeshaji.
 
Huyu nae ni jambazi.
Hakuna microfinance inayofanya ujinga huo na ndo maana hata anatoa hovyo tu mkopo. We mtu anaenda kulima unampa mkopo wa kazi gani?
Huyu ni jambazi anayefaidika kwa shida za watu.
Utashika vitu vya wateja wangapi? Microfinance zote utaratibu ni mmoja lazima uwe na biashara iliyosimama inayoonekana.Uwe na wadhamini, mpeleke barua za serikali ya mitaa na ya mjumbe.
Wanakuja kukutathmini biashara yako na kupajua kwako na kwa wadhamini.
Mnakaa chini mnakubaliana kiasi gani na kwa muda gani? Rejesho utapeleka weekky bi weekly au kwa mwezi?
Unasaini form na unaandika nini security yako unaingiziwa mzigo.
Huyu anafanana na Zack finance.
Yeye pia hufanya.

Japo yeye riba zake ni 30%
Alinifilisi sana mwaka niliomalizia chuo nilikuwa natafuta pesa ya kwenda kulimia
Nilijikuta kila kitu nimekiweka kwake bond.

Hii njia nzuri lazima vitu vile ufight uvirudishe maana unakuta umeweka flat ya laki 6 na nusu jamaaa anakukopesha laki mbili na nusu.
 
kurogana pia
Ni biashara inayolipa sana, ni kati ya Biashara Nzuri sana, ila mwisho wake ni mbaya sana! I naleta vilio, magomvi na kuharibu mahusiano!

Kama wewe ni mtu tu mwenye concious na Imani ya sini yeyote, tafuta namna iliyonyoka zaidi ya kutafuta pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani we i bihashara unaifanya.??
Huyo anafanya local ndo maana anatoa riba ya 50% kwa mwezi ina maana kwa mwaka riba ni 600%.
BOT wanaziregulate sana hizi microfinance.
Sasa hizi zote zina same interest rate,masharti moja na
zote zinakuwa monitored na CRB hao wa kuwa na riba ya 50% kwa mwezi ni maharamia wa mtaani.na ili uwafanyie watu hivyo inatakiwa uwe na moyo mgumu sana roho mbaya maana kawaida mtu amayekopa laki kwa kulipa laki na nusu na akapelekea tv ya nchi 32 amini nakuambia huyo ana tatizo kubwa na kahangaika kote amekosa hana jinsi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWONGOZO 2 (MABORESHO): Masharti na taratibu za kupata leseni ya biashara ya kutoa mikopo kwa kutumia mtaji binafsi - JamiiForums pitia hiyo thread.
Usifanye local rafiki.
Usifanye kuwaumiza watu au kutaka kutajirika kwa ajili ya shida za watu.
Fuata taratibu za serikali.
Utafaidika mbona satu kibao wanaendesha maisha kwa hizi microfinance.
Kafungua ofisi mkurugenzi mwenyewe na mfanyakazi mmoja huyo ndo secretary sijui loan officer wanapiga mzigo
Itabidi na mie nianze mfumo huu.
 
Nimeipitia hii hapo ktk mtaji 20M parefu kdg ,ila iko vzr
 
kama kilo 6 ivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huu mtaji inabidi uanze kukopesha majirani tena riba uweke 30% kuendelea.

Maximum amount isizidi 50000 hapo utaanza na wateja 12 kwa huo mtaji

Lenga akina mama maana sio wasumbufu wakulipa

Ukisema usajili micro credit kwa huo mtaji wa 600k haitoshi hata nauli ya mizunguko kutafuta kibali

Nikutakie biashara njema .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom