Biashara ya ukopeshaji pesa kwa riba

Kama yupo Dar, njoo PM uniunganishe na mdaiwa kesi imeisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara imemfilisi mwamba wangu mmoja huku mwanza, mara ya Kwanza alikuwa , anapiga pesa kinyama .... Et the end wamemsafisha kikuzi , asikudanganye mtu hii business ina hela Sana ila mwisho wa siku lazima usafishwe tuuu hata ufanyeje.....
Ushauri Kwa anayetaman kufanya hii kitu afanye kama njia ya kutokea lakn ukiifanya kama ndo central figure ya lyfe lako utakuja kulia na kusaga meno
 

Explain how


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilifanya kazi ya afisa mikopo kwenye kampuni moja ...nilitoa mikopo kwa vikundi vya akina mama Na vijana, mtu mmoja mmoja kwa wafanyabishara Na waajiriwa... Niliexperience mambo kadhaa cha kwanza culture ya kulipa Bado ni Tatizo Sana unapowekeza pesa elewa kuna PESA nyingi utapoteza Sana hasa dhamana akibakiwa nayo mkopaji. Kuna wateja wengine kazi yao ni kutapeli kila taasisi wako very smart hapo inahitaji umakini wako hali ya juu, ukipata wateja wachache wazuri nakusihi usiwaache kama wanaweza kukopa pesa nyingi wakopeshe hao ndio wataoendesha biashara yako ,kupata wasumbufu ni kawaida. Ukiwa mtu WA stress na kupanic usifanye unaweza kuwa chizi. Toka Niache hii kazi sijawahi shawishika kufanya hii biashara....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, kwani BoT wanapanga riba? Naomba unitoe tongotongo tafadhali.
 
Reactions: amu
Kusafishwa kiaje ndugu?
 
kukipata hcho kibali n changamoto..mana kama skosei,BOT wanahtaji uwe na minimum capital ya 20milions
I stand to be corrected

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Kama unaaminika unaweza chukua au hazima hicho kiasi kwa mtu kikae kwenye A/c yako then wakimaliza shughuli zao unarudisha.
Kuna watu niliwa fungulia Microfinance asee...wanapiga hela.
Chamsingi anza kukopesha mdogo mdogo pia kuwa na wadau fulani ambao hao wakikuletea wateja ndio wata wadhamini...lenga wafanyakazi hivii.
 
Kama riba ni za kiungwana Perfect then

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I Pin copied text snippets to stop them expiring after 1 hour
 
Mother ako Ni mjonyajii na muhujumu uchumi,laki kwa laki na nusu hiyo nizuluma kubwa Sanaa Ina maanisha riba asilimia 50
 
Hiyo Ni zulmaa...msilee Wala msitoe riba
 
Wewe mbona ulikuwa unakula riba kupitia salary?
Hahhaa....niliona Ni zulmaa,na pia ilikua inaniumiza roho sana kwenda kudai pasipo na hurumaa.na ndo maana nikaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…