wakolosai
Senior Member
- Aug 22, 2017
- 127
- 143
Kama yupo Dar, njoo PM uniunganishe na mdaiwa kesi imeisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa yangu alikopa shilingi milioni 2; malipo kwa mwezi ambapo anatakiwa alipe milioni 2 na 320,000/= kama riba. Ikatokea alishindwa kulipa miezi 6 kwani alipatwa na dharula. Hivyo alivyorudi tena kulipa akapewa hesabu zifuatazo: a/ Mkopo halisi milioni 2, b/Riba 320,000/= x miezi 6 = 1,920,000/=, c/Faini 20,000/= x siku 30 x miezi 6 = 3,600,000/=, d/Malipo fomu ya maombi 50,000/= x miezi 6 = 300,000/= Jumla anatakiwa kulipa Shilingi 7,820,000/=. Yapata miezi 4 sasa jamaa hawajafikiana muafaka namna ya kumalizana, dhamana ilikuwa ni kadi ya gari ya mkopaji. Hatahivyo mkopeshaji anasema thamani ya gari haifiki deni la milioni 7 na laki 8 elfu 20. Bado wanalumbana tu, hawajapelekana mahakamani, ingawa mkataba ulijazwa. Kwa jumla biashara hiyo ni changamoto ingawa riba ni kubwa sana, faida kwa mkopeshaji.
Sent using Jamii Forums mobile app