Biashara ya unga wa mahindi nje ya nchi

Biashara ya unga wa mahindi nje ya nchi

Joined
Jul 8, 2017
Posts
95
Reaction score
29
Ndugu wana jamii forum,nngependa kujua kuhusu biashara ya unga wa mahindi nje ya mipaka ya Tanzania kama Kenya,Congo na Sudan. Naomba kujua legal basis,Market na profitability ya biashara hiyo. Ningefurahi pia kupata mawasiliano ya watu wanaofanya biashara hiyo especially kwa small scale.
 
Ngoja wajuzi waje

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ujumla kenya ni soko zuri la mahindi kuliko mchele nadhani. Ila kwa kusource mahindi nchini itakua biashara ya misimu kwani mara nyingi hingiliwa na zuio la serikali oale inapotokea nchi haina stock ya kutosha basi huzuia chakula kisiuzwe nje. Ila kama utaweza kutoa mahindi kwingineko bilashaka utauza kenya

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
Kenya bei ikoje?
 
Huo unga si mpaka upate vibali vya TBS na shirika la viwango la kimataifa.

Itabidi uende Newyork upeleke sample ya unga ukapimwe kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom