dreams and visions
Member
- Jul 8, 2017
- 95
- 29
Ndugu wana jamii forum,nngependa kujua kuhusu biashara ya unga wa mahindi nje ya mipaka ya Tanzania kama Kenya,Congo na Sudan. Naomba kujua legal basis,Market na profitability ya biashara hiyo. Ningefurahi pia kupata mawasiliano ya watu wanaofanya biashara hiyo especially kwa small scale.