dreams and visions
Member
- Jul 8, 2017
- 95
- 29
Kenya bei ikoje?Kwa ujumla kenya ni soko zuri la mahindi kuliko mchele nadhani. Ila kwa kusource mahindi nchini itakua biashara ya misimu kwani mara nyingi hingiliwa na zuio la serikali oale inapotokea nchi haina stock ya kutosha basi huzuia chakula kisiuzwe nje. Ila kama utaweza kutoa mahindi kwingineko bilashaka utauza kenya
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Sina uhakika wa bei ila najua ni nzuri bse wana uhaba wa mahindi usipimeKenya bei ikoje?
Kwa sasa hali ikoje mipakan especially namanga....wanaruhusu unga kupita?Sina uhakika wa bei ila najua ni nzuri bse wana uhaba wa mahindi usipime
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Newyork tena???Huo unga si mpaka upate vibali vya TBS na shirika la viwango la kimataifa.
Itabidi uende Newyork upeleke sample ya unga ukapimwe kwanza mkuu