Biashara ya unga wa mahindi Songea

Joined
Dec 15, 2018
Posts
6
Reaction score
5
Ninahitaji MTU wa kushirikiana naye kwenye biashara ya kuzalisha unga wa sembe Songea na kusambaza mkoa wa Mtwara na Lindi.
 
Mtwara na Lindi kuna shida ya unga?

Huko Newala wanalima mahindi au Mtwara mjini?

Masasi wanakula mihogo

Kuna magari ya Msemo miaka ile ya 2004 mpaka 2011 yalikuwa yanapeleka unga Mtwara na kurudi na nazi Songea
 
Kumbuka sio watu ni wakulima huko Lindi ama Mtwara,Biashara haichagua mazingira ya sehemu ilipo
 
Mtwara na Lindi kuna shida ya unga?

Huko Newala wanalima mahindi au Mtwara mjini?

Masasi wanakula mihogo

Kuna magari ya Msemo miaka ile ya 2004 mpaka 2011 yalikuwa yanapeleka unga Mtwara na kurudi na nazi Songea
Mkuu nitumie neno mahitaji. Ndio Mtwara na Lindi Luna mahitaji ya unga kutoka Songea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…