Sharedbusiness
Member
- Dec 15, 2018
- 6
- 5
Ninahitaji MTU wa kushirikiana naye kwenye biashara ya kuzalisha unga wa sembe Songea na kusambaza mkoa wa Mtwara na Lindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtwara na Lindi kuna shida ya unga?Ninahitaji MTU wa kushirikiana naye kwenye biashara ya kuzalisha unga wa sembe Songea na kusambaza mkoa wa Mtwara na Lindi.
Kumbuka sio watu ni wakulima huko Lindi ama Mtwara,Biashara haichagua mazingira ya sehemu ilipoMtwara na Lindi kuna shida ya unga?
Huko Newala wanalima mahindi au Mtwara mjini?
Masasi wanakula mihogo
Kuna magari ya Msemo miaka ile ya 2004 mpaka 2011 yalikuwa yanapeleka unga Mtwara na kurudi na nazi Songea
Mkuu nitumie neno mahitaji. Ndio Mtwara na Lindi Luna mahitaji ya unga kutoka SongeaMtwara na Lindi kuna shida ya unga?
Huko Newala wanalima mahindi au Mtwara mjini?
Masasi wanakula mihogo
Kuna magari ya Msemo miaka ile ya 2004 mpaka 2011 yalikuwa yanapeleka unga Mtwara na kurudi na nazi Songea