Biashara ya unga wa mahindi

Biashara ya unga wa mahindi

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
3,577
Reaction score
2,224
Wakuu naomba kupata hali ilivyo katika biashara ya kuuza unga wa mahindi.

1.Hasara na faida zake.
2.Changamoto zake
3.soko
4.Aina ya mahindi mazuri kununua.
5.Upatikanaji wa mashine za kukoboa na kusaga zenye ubora.

Natanguliza ahsante nyingi.
 
Back
Top Bottom