Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
Asante kwa advise yako, i will surely do so.Jitahid utembelee migodi ya dhahabu ili uweze kuijua vizuri. Ukishaaijua ndio ufanye mpango wa kuanza kununua.
Asante kwa response yako mkuu. Ila mimi sikutaka kuhusika na ununuzi na uuzaji hapa Dar, nilitaka kusafiri kwenda mkoani na kununua kule kisha kuuza huku. Kuna mnunuzi anayejulikana sana hapo mjiniKabla hujaingia mkuu tafuta muda kutembelea japo masonara dar uijue kuna wizi Mkubwa kwenye dhahabu
Ukifuatilia utanunua Mashine ile ni digital inapima Na kutambua madini yote kwa kuanzia nenda pale Kariakoo soko kuu hili Lango la mbele kueleke kwenye vile vyoo mle ndani kuna ofisi
Ulizia Omari atakusaidia anahusika Na hiyo business Na atakujuza vizuri
Mimi pia nahusika nazo but njia ya pili
Wote unaowajua hapa dar wengi wapo kwenye hizi fake kuwa makini sana
Sisi tunauza kwa kilo moja 23000usd
Kwa zile original gram moja ilikuwa 67tsh but kaulizie vizuri mkuu
Horseman, i will call you tomorrow. Thanks.Contact me for more details 0653284788.. Just knoe am only providing you with information per my experience in Gold business
Asante kwa response yako mkuu. Ila mimi sikutaka kuhusika na ununuzi na uuzaji hapa Dar, nilitaka kusafiri kwenda mkoani na kununua kule kisha kuuza huku. Kuna mnunuzi anayejulikana sana hapo mjini
Thanks bruhh, you are great! asante kwa advise yako na kwa muda wako, i really appreciate. So issue kubwa sana ni kutapeliwa na kuuziwa gold fake? kunazo mbinu kadhaa najua za kujua kama ni gold kweli au ni fake. Kwa mfano:hata hivo ndio maana nimekushauri kabla hujaingiza pesa yako cha muhimu wafuate hao uijue kwanza dhahabu ilivo bila hivo utalia mkuu
wengiwamelizwa kwa kuuziwa powder ya cork za maji wanazisaga au wengine hupakaza chuma ko muhimu hapa si kijijini au mjini exprole environment first IJUE DHAHABU VIZURI na kama unataka kuwa na faida endelevu ila inahitaji uvumilivu nenda dhahabu ya tanga inakubalika zaidi kuliko ya geita maana purity yake kubwa TANGA UNAUZIWA feet kadhaa wanaanzia laki tatu bei ya mwaka jana tafuta vijana anza uchimbaji hapo utanunua kwa hawa uliowaweka bei nusu as ni sehemu yako ndivo wanavofanya kikubwa uwe care wasikuubie
na mtaji by then million tano unaweza kuanzia
hii ya kununua mkononi jipange kwa yote mkuu la sivyo kuwa na mashine kidogo hiyo itakusaidia kupunguza risk za kuibiwa
Duhhh, hizo conditions zinatisha sana mkuu, ila ndio uhalisia wake huo!!ni moja kati ya biashara ngumu sna kama umeajiriwa.ni biashara inayaokutaka mda wote uwepo eneo la tukio.so kua makini na uchague moja.na isipaparuka.kupoteza miln kwa dk ni kawaida sana.
Dada, unanunua au unauza?Daa huu Uzi unanihusu ngoja wadau watujuze zaidi
gemstones zipo za aina nyingi inategemea unataka kudeal na nini.ila nayo yanataka umakini mni.ukayarukia yanakutumbua.iwe pure gem au rough.but its a good business ikikukubali lazima uw kama rey[emoji3]Vipi kuhusu wateja wa Gemstones wadau!?
yaaah ndio zipo.ukiiendea kwa majaribio nayo inakujaribu.kikubwa uisome biashara nzima.kuanzia wanapohimbia.michezo yao nk.then ndo utie pesaDuhhh, hizo conditions zinatisha sana mkuu, ila ndio uhalisia wake huo!!
Siuzi wala sinunui ila uwaga naifikira kuifanyaDada, unan
Dada, unanunua au unauza?
Basi i tink we share dreams and ambitions, tuchangamke basiSiuzi wala sinunui ila uwaga naifikira kuifanya