Nadhani mkuu limekuuma nahisi wewe ndie miongoni mwao usijifanye unaijua dhahabu ili hali watu wanapigwa kuwa na huruma mkuu
mwenzio kaipata pesa kwa shida kumwambia atafute mashine ni utapeli huo? kuwa makini mkuu NA FIKIRIA MARA MBILI KABLA HUJAJIBU MKUU
BIASHARA YENYE UTAPELI NAMBA MOJA NI MADINI KWANINI USISEME UNA NI ATTACK SIO HIVO wewe mkubwa na huenda una watoto
Utapeli huu naujua vizuri sana. Na Hata baadhi ya machine haziwezi kusaidia kugundua feki au reall, Na Mimi licha ya kuijua nimekaa kwa migodi mzee. Wewe believe me ni TAPELI, kwanza, dalilili ya utapeli wako ni je. Inawezekana vip
1. Kg moja useme $23,000? Bei ya dhahabu toka mwaka uanze haipo hivyo, hizo ni bei za wapigaji
2. Kwanini umeanza kutoa bei ya kg? Maana wapigaji wao wanauza kwa kg Na hizo ni bei zao.
3. Hiyo bei yako mnaouza, je ni carat ngapi? Purity au je ni bars au CHENGA?
4. Wanunuzi wa dhahabu masonara wengi pia wapo kisutu, huyo kariakoo nani? Wapigaji.
5. Kumshauri anunue mashine Si waiver ya kuwa wewe si tapeli, unajifanya unamshauri kwa makini kumbe kipindi atakutana nacho kkoo kwa huyo uliye mdirect?
Tusifaidishe wengi kwa marumbano yasio Na tija, haina haja niseme wewe Nani Na kundi lako ni wabeshi wapi.
Nachokwambia kuwa wewe ni TAPELI,au broker wanaita wao, yani unatafuta makoro mitandaoni.
Sijakurupuka kaka, Mimi nawajua nyie mentality yenu mwanzo mwisho.