Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

wrong! masonara hawajui gemstone mzee.watakufanyia mchezo wa ajabu.tafta mtu mwenye idea ya mawe atakushauri.tafta mabroker watakupa ideas
Sawa ila hao mabroker nitawapata wapi mkuu?
 
Biashara hizi nyingi ni UTAPELI tu Muuzaji na Mnunuzi wote manzang'anya.
 
hii siyo biashara ya mchezo mchezo.unaweza lia.kuna aina nyingi za dhahabu.kuna ya kaki na ile ya kaki iliyokoza.ukijichanganya ukanunua dhahabu ya kaki utajuta
Khasante mkuu kwz muongozo kwa hiyo iliyokuwa na soko no ya rangi ya kaki iliyopauka? Tufafanulie hapo
 
Vp washikaji?

Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa hivo nilitegema kununua dhahabu kwa bei ya chini kule mikoani na kuleta hapa Dar kuwauzia major dealers hapa Dar.

Kwa sababu mtaji wangu mdogo, ningetaka kuanza small scale, labda kununua kwa viwango vya gramu kadhaa mwanzoni. Kwa hivo naomba msaada wenu marafiki.

Nimeambiwa kwamba Kahama wapo wachimbaji wadogo wadogo, pia Geita. Asanteni sana arif zangu
Hi there,

Mimi niko kwenye biashara ya small scale mining hapa katavi

Tunapata kiasi kidogo cha gold na tunauza kwa local buyers walioko hapa kwa sh 65,000 kwa gram. Kama uko tayari kupanda sh 5000 zaidi ninaweza kukuuzia na wewe ukauza kwa best buyers dar

Call me on 0767659145
 
Dhahabu yako ni ya aina gani, vikole (gold nuggets) au ya mwamba (imekamatishwa na mercury). na ni ya purity gani?
 
mm mwenyew nataka nizame Moro kulima mpunga kwa mdau anaejua bei ya kukodi shamba sas hivi Moro atuambie

Kwa wale wakulima wazoefu wampunga naombeni ushauri juu ya kilimo ichi husuasani gharama zake kuanzia

kukodi shamba mpaka mavuno na storage kwa eka moja, vilevile maeneo muhafaka kwa kilimo hiki.

Dhahabu yako ni ya aina gani, vikole (gold nuggets) au ya mwamba (imekamatishwa na mercury). na ni ya purity gani?
Tunachimba kwenye mwamba na tunatumia mercury kusafishia, purity ni 92%
 
Vp washikaji?

Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa hivo nilitegema kununua dhahabu kwa bei ya chini kule mikoani na kuleta hapa Dar kuwauzia major dealers hapa Dar.

Kwa sababu mtaji wangu mdogo, ningetaka kuanza small scale, labda kununua kwa viwango vya gramu kadhaa mwanzoni. Kwa hivo naomba msaada wenu marafiki.

Nimeambiwa kwamba Kahama wapo wachimbaji wadogo wadogo, pia Geita. Asanteni sana arif zangu
Kabla ya kuanza hiyo biashara, ulishawahi kuona au waweza kutofautisha kati ya gold, pyrite na charcopyrite?
 
Ni vizuri ukawa na uzoefu mkubwa kabla ya kuingia huko, lazima utapigwa sana kabla ya kufanikiwa. Katika biashara hiyo wapigaji ni wengi mno kupita wauzaji au tuseme wafanyabiashara; wapigaji ni professional na wala huwezi wagundua mpaga wamekumaliza, lakini ukisha isoma sekta nzima na kuielewa vizuri then you can do it maana utawaelewa wapigaji wakoje na mbinu zao na wanashirikiana na watu gani katika vyombo vya dola. So ushauri wangu wa bure hizo hela zako kaziweke benki kama sevings ni bora zaidi au fanya biashara ya mboga na matunda lakini huko kwenye gold watakuliza kweupeee!
 
Sawa ila hao mabroker nitawapata wapi mkuu?
ni pm kama upo dar kuna mtu nitakuunganisha nae.atakupa idea nzuru ya gemstone!!ila mkishaongea usijejiona umefuzu ukatoka hpo na kukimbilia matombo kununua mzigo.ficha pesa yako mbali uisome biashara.tfta mtu anaeyajua mawe kua nae karibu akufundishe mchezo.na deal na aina chache tu.usipapalike kutaka kujua mawe aina zote.all da best
 
Vp washikaji?

Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa hivo nilitegema kununua dhahabu kwa bei ya chini kule mikoani na kuleta hapa Dar kuwauzia major dealers hapa Dar.

Kwa sababu mtaji wangu mdogo, ningetaka kuanza small scale, labda kununua kwa viwango vya gramu kadhaa mwanzoni. Kwa hivo naomba msaada wenu marafiki.

Nimeambiwa kwamba Kahama wapo wachimbaji wadogo wadogo, pia Geita. Asanteni sana arif zangu
Kiongozi habari yako?Vipi ulifanikiwa kuanza biashara ya dhahabu?
 
Kabla hujaingia mkuu tafuta muda kutembelea japo masonara dar uijue kuna wizi Mkubwa kwenye dhahabu
Ukifuatilia utanunua Mashine ile ni digital inapima Na kutambua madini yote kwa kuanzia nenda pale Kariakoo soko kuu hili Lango la mbele kueleke kwenye vile vyoo mle ndani kuna ofisi
Ulizia Omari atakusaidia anahusika Na hiyo business Na atakujuza vizuri
Mimi pia nahusika nazo but njia ya pili
Wote unaowajua hapa dar wengi wapo kwenye hizi fake kuwa makini sana

Sisi tunauza kwa kilo moja 23000usd
Kwa zile original gram moja ilikuwa 67tsh but kaulizie vizuri mkuu
Wewe The Richards, NI TAPELI. Najua wengi mtashangaa kwanini nimesema hivi, kwa namna unavyojitahidi like kumpa jamaa precautions za kutosha. Anyway, Lakini jua hivyo kuwa wewe si mtu mzuri. Naongea hivi kwa kuwa nina uzoefu wa kudeal na watu kama wewe, mentality Yao naijua, dhahabu naijua, utafutaji wao hao wapigaji ninaujua kuliko kawaida. But believe me wewe ni MPIGAJI. Kuweni makini na huyu Rafiki.

Asanteni.
 
Nadhani mkuu limekuuma nahisi wewe ndie miongoni mwao usijifanye unaijua dhahabu ili hali watu wanapigwa kuwa na huruma mkuu
mwenzio kaipata pesa kwa shida kumwambia atafute mashine ni utapeli huo? kuwa makini mkuu NA FIKIRIA MARA MBILI KABLA HUJAJIBU MKUU

BIASHARA YENYE UTAPELI NAMBA MOJA NI MADINI KWANINI USISEME UNA NI ATTACK SIO HIVO wewe mkubwa na huenda una watoto
 
Utapeli huu naujua vizuri sana. Na Hata baadhi ya machine haziwezi kusaidia kugundua feki au reall, Na Mimi licha ya kuijua nimekaa kwa migodi mzee. Wewe believe me ni TAPELI, kwanza, dalilili ya utapeli wako ni je. Inawezekana vip

1. Kg moja useme $23,000? Bei ya dhahabu toka mwaka uanze haipo hivyo, hizo ni bei za wapigaji

2. Kwanini umeanza kutoa bei ya kg? Maana wapigaji wao wanauza kwa kg Na hizo ni bei zao.

3. Hiyo bei yako mnaouza, je ni carat ngapi? Purity au je ni bars au CHENGA?

4. Wanunuzi wa dhahabu masonara wengi pia wapo kisutu, huyo kariakoo nani? Wapigaji.

5. Kumshauri anunue mashine Si waiver ya kuwa wewe si tapeli, unajifanya unamshauri kwa makini kumbe kipindi atakutana nacho kkoo kwa huyo uliye mdirect?

Tusifaidishe wengi kwa marumbano yasio Na tija, haina haja niseme wewe Nani Na kundi lako ni wabeshi wapi.

Nachokwambia kuwa wewe ni TAPELI,au broker wanaita wao, yani unatafuta makoro mitandaoni.

Sijakurupuka kaka, Mimi nawajua nyie mentality yenu mwanzo mwisho.
 
Nadhani mkuu limekuuma nahisi wewe ndie miongoni mwao usijifanye unaijua dhahabu ili hali watu wanapigwa kuwa na huruma mkuu
mwenzio kaipata pesa kwa shida kumwambia atafute mashine ni utapeli huo? kuwa makini mkuu NA FIKIRIA MARA MBILI KABLA HUJAJIBU MKUU

BIASHARA YENYE UTAPELI NAMBA MOJA NI MADINI KWANINI USISEME UNA NI ATTACK SIO HIVO wewe mkubwa na huenda una watoto
6. Katika statement yangu ni wapi nimesema naijua dhahabu mpaka wewe useme kuwa najifanya naijua dhahabu? [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom