Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake


Swali ni kwanini umewaza biashara hiyo?Kama umeiwaza baada ya kuona fursa(Katika eneo ulilopo) basi utafanikiwa.Changamoto ni sehemu ya maisha hivyo hata zikiibuka usiache.

Kwenye biashara kama hii uzoefu wa wengine hausaidii sana, labda kama unataka wakuambie malighafi nzuri na za bei nafuu zinapatikana wapi.

Kila la kheri.
 
Mkopo benki una bima, pia ukikimbia kulipa leo jiandae kula ban ya maana ya mikopo katika mabenki.
 
Hujaeleweka unataka nn mkuu, mtu mwenye capital coz ww ujuz unao?, je unahitaji ushauri tu namna ya kuanza ili usile loss?? Weka wz
 
DONT FORGET A STANDBY GENERATOR
 
Nimejaribu kutafuta threads zinazozungumzia hizo biashara mbili sijaziona,hebu wazoefu njooni tujadili hizo biashara hasa tukiangalia kiasi cha mtaji cha kuanza nacho na changamoto zake.

Kwa mfano ukataka kuanzisha dodoma,je ushindani uko vp huko!?je ni biashara inayokutaka muda wote uwepo sehem husika!?
 
Bila shaka biashara ya shule inahitaji mtaji mkubwa sana ili kuleta ufanisi maana utahitaji majengo, vifaa vya kufundishia na kujifunzia, rasilimali watu n.k
Lakini pia kiasi cha mtaji kitategemea unataka kuanzisha shule ya level(pre/primary/secondary) ipi na yenye ukubwa gani (idadi ya wanafunzi)
 
Watu kila siku wanakula, anzisha kiwanda cha mikate.
 
Shule ni biashara nzuri ila inahitaji fedha nyingi na mzunguuko mrefu hadi kuisajili, pamoja na ardhi ya kutosha kwa ajili ya michezo kwa wanafunzi, ingawa sijajua unataka kuanzisha ya level gani, nursery, primary, sec au ufundi. Faida kubwa ni kuwa mtu hawezi kukuibia! Maana hesabu zake zinategemea na idadi yz wanafunzi ulionao! Mikate hakuna complication isajili biashara yako kaa location nzuri utainuka! Pia unaweza changanya na maandazi, sconzy!
 
ndo kawaida ya bongo mtu hapendi kujiongeza anatizama kile ufanyacho kisha yye anaenda kufanya kiukweli ukitaka mafanikio lazima uwe mbunifu kabisa mfano hii niliyobuni sijaona
ni dizaini tu ya ubunifu na ukiamua kufanya hii biashara ukubali kujifunza usijione wwe unajua zaidi
na kama wwe ndo unaanza jitahidi kuwa kama wwe na usiige watu utapotea usiwe mchoyo na kuwaelekeza wenzio wajapo kulipa uwafundishe
 
Hapo inabd uwe na jiko kubwa ili upike kwa trei(kama n za kukata) au upike cup cake nying kwa wakt mmoja! Hayo majiko yapo kuanzia milion moja na nusu had milioni nne! Mixer inabd uwe nayo ya milioni moja na nusu, so ukiwa na milioni tatu inatosha!
Bila mtaji wakutosha apa unachemka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau. Naombeni msaada nahitaji kufungua duka la kuuza vifaa vya kutengenezea cake. Wapi naweza kupata bidhaa hii kwa bei ya jumla kwa bei nzuri.
 
Andazi Kama za KIWANDANI zinalipa ila Wewe mwenzangu weka viungo maana ya viwandani hayana viungo Wala sukari sijui yana chumvi yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…