Ni kweli ukikariri kuwa fulani mbona alifanya akafeli hutathubutu kuingia kwenye biashara kwasababu biashara wapo wengi waliofeli pia.Hujanielewa wewe, nakueleza kama alifeli huyo sio lazima kila mtu afeli, kila mtu ana ujuzi wake wa kukuza biashara, umesema tu mtu hakufika miezi 6 akafunga biashara hujaeleza kilichofanya afunge biashara ni kama umekurupuka tu kunijibu kiholela
Kwanini wanaofanya Wanaendlea na maendeleo yao tunayaona, kwamba hawalipi kodi nkBiashara ya bakery haina faida ni biashara kichaa,Faida ya mkate mmoja ni shilingi 50/= tu ya Tanzania kama ukipata sana.Mkuu fanya ishu nyingine maana Mtaji ni mkubwa faida ni kidogo ndio maana kuna mdau kasema kuna mtu kafanya kwa miezi 6 kaifunga.
Sipo kukukatisha tamaa mtaji wa ziaidi ya milioni kumi utauhitaji,maoven,dough mixer,brade slicer,Cake mixer,Bread and cake tins,racks za kuwekea,then twende kwenye kusajili kampuni,kodi ya pango na Raw materials then gari la kusambaza then petrol then kodi ya mapato,kwa kitu gani?50/=?Kuna biashara nyingi za kufanya mkuu achana na hiyo kazi.
mkuu fanya biashara utuletee mrejesho ambao ni mzuriKwanini wanaofanya Wanaendlea na maendeleo yao tunayaona, kwamba hawalipi kodi nk
Ningekuelewa km ungeongelea ubora wa bidhaa, masoko nk km changamoto.
Mkuu inakula gesi hyo kitu utalia....Why not GAS OVEN ?
na vipi kuhusu la umeme na lenyewe c linakula umeme kiama..!Mkuu inakula gesi hyo kitu utalia....
Bora umeme mkuu kuliko gasna vipi kuhusu la umeme na lenyewe c linakula umeme kiama..!
Ahaa, shukrani mana nilishapress order ya oven ya gas ya three deck kupitia alibaba...kwa uzoefu huu bora nibadilishe gia hewani..nilizani umeme utatumika mwingi sanaBora umeme mkuu kuliko gas
Mkuu talentboy vipi ulianzisha hii business ya bakery? Vipi maendeleo ya biashara hii kwa sasa unaionaje?Ahaa, shukrani mana nilishapress order ya oven ya gas ya three deck kupitia alibaba...kwa uzoefu huu bora nibadilishe gia hewani..nilizani umeme utatumika mwingi sana
Sikuanzisha mkuu, nilitegemea kuingia ubia na rafiki yangu mmoja hivi ili tuunge nguvu, ila jamaa angu kaniangusha alikuja kubadilisha gia hewani....ila kwa huku Zenji zimeshakuwa nyingi sana mitaani hizi za majiko ya kisasa na watu wanapiga pesa fresh tu, mia 2 mia 2 za boflo na mabanzi.Mkuu talentboy vipi ulianzisha hii business ya bakery? Vipi maendeleo ya biashara hii kwa sasa unaionaje?
View attachment 1554368
Salaams JF,
Nilipata wazo la kuanzisha bakery maeneo ya Sinza. Products ni ; Mikate, Maandazi na cakes aina mbalimbali. Sikuomba au kutafuta ushauri kwa mtu yeyote. Pia sijafanya research ya uhakika kuhusu mahitaji halisi ya hizo bidhaa ninazotaka kuingiza sokoni. Pia sijafanya utafiti kuhusu ushindani wa hii biashara. Nimeamua kuchukua RISK 100% katika kuwekeza huko kwenye bakery. Kwahiyo bado sijaelewa / sijajua kama nipo njia sahihi au nimekosea. Naomba ushauri na uelewa wenu kwenu hii biashara.
Hadi sasa nimefanikiwa kupata vitu vifuatavyo;
- Machines- 3 Ovens ( moja kubwa inaingiza paltes 6 na nyingine mbili ni ndogo zinaingiza plates 2 kila moja); 1 Mixer aina ya B30; Shelf; 30 Oven Plates,
-Nimepanga Jengo na kulifanyia ukarabati kulingana na mahitaji ya kazi.
-Nimesajili jina la biashara
-Nimeshapata na TIN
-Nimeshapata leseni
Vitu vinavyohitajika kwa sasa ni;
-Connecting service line ( electricity) kwenye jengo ambalo nimeshafanya wiring
-TFDA authorization
-Source of more finance
-Hard working, knowledgeable and skilled person ( Baker) ambaye ataweza kutengeneza bidhaa mbalimbali
-Bread slicer
-Manager and cashier
-Marketing and sales person
-Distributor
Je mnaonaje wakuu? Je nipo sahihi? Nawakilisha
WADAU WENGINE WANAOHITAJI UFAHAMU WA BIASHARA HII
MICHANGO YA WADAU