Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

Hujanielewa wewe, nakueleza kama alifeli huyo sio lazima kila mtu afeli, kila mtu ana ujuzi wake wa kukuza biashara, umesema tu mtu hakufika miezi 6 akafunga biashara hujaeleza kilichofanya afunge biashara ni kama umekurupuka tu kunijibu kiholela
Ni kweli ukikariri kuwa fulani mbona alifanya akafeli hutathubutu kuingia kwenye biashara kwasababu biashara wapo wengi waliofeli pia.
 
nimejifunza kitu hapa, hii biashara mi natarget kufanya kwa ajili ya watu wa chini.yani watakaonunua kwa shilingi 100 na 200, vibanzi na mikate ya boflo...sijui itanilipa!
 
nimejifunza kitu hapa, hii biashara mi natarget kufanya kwa ajili ya watu wa chini.yani watakaonunua kwa shilingi 100 na 200, vibanzi na mikate ya boflo...sijui itanilipa!
 
Biashara ya bakery haina faida ni biashara kichaa,Faida ya mkate mmoja ni shilingi 50/= tu ya Tanzania kama ukipata sana.Mkuu fanya ishu nyingine maana Mtaji ni mkubwa faida ni kidogo ndio maana kuna mdau kasema kuna mtu kafanya kwa miezi 6 kaifunga.

Sipo kukukatisha tamaa mtaji wa ziaidi ya milioni kumi utauhitaji,maoven,dough mixer,brade slicer,Cake mixer,Bread and cake tins,racks za kuwekea,then twende kwenye kusajili kampuni,kodi ya pango na Raw materials then gari la kusambaza then petrol then kodi ya mapato,kwa kitu gani?50/=?Kuna biashara nyingi za kufanya mkuu achana na hiyo kazi.
Kwanini wanaofanya Wanaendlea na maendeleo yao tunayaona, kwamba hawalipi kodi nk

Ningekuelewa km ungeongelea ubora wa bidhaa, masoko nk km changamoto.
 
Kwanini wanaofanya Wanaendlea na maendeleo yao tunayaona, kwamba hawalipi kodi nk

Ningekuelewa km ungeongelea ubora wa bidhaa, masoko nk km changamoto.
mkuu fanya biashara utuletee mrejesho ambao ni mzuri
 
Ahaa, shukrani mana nilishapress order ya oven ya gas ya three deck kupitia alibaba...kwa uzoefu huu bora nibadilishe gia hewani..nilizani umeme utatumika mwingi sana
Mkuu talentboy vipi ulianzisha hii business ya bakery? Vipi maendeleo ya biashara hii kwa sasa unaionaje?
 
Upo sahihi ndugu yangu, chamsingi ni kuandaa bidhaa bora ambayo inaweza kuleta ushindani kibiashara, pia upate wasambazaji bidhaa kwaajil ya marketing. Mimi nipo kwenye hiyo kazi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kama mikate, maandazi ya kuwoka, skonsi. Under private school . Hiyo ni special for students, one tray contain 24 [emoji506]View attachment 2408789
IMG_20220930_161517.jpg
 
Mkuu talentboy vipi ulianzisha hii business ya bakery? Vipi maendeleo ya biashara hii kwa sasa unaionaje?
Sikuanzisha mkuu, nilitegemea kuingia ubia na rafiki yangu mmoja hivi ili tuunge nguvu, ila jamaa angu kaniangusha alikuja kubadilisha gia hewani....ila kwa huku Zenji zimeshakuwa nyingi sana mitaani hizi za majiko ya kisasa na watu wanapiga pesa fresh tu, mia 2 mia 2 za boflo na mabanzi.
 
View attachment 1554368

Salaams JF,

Nilipata wazo la kuanzisha bakery maeneo ya Sinza. Products ni ; Mikate, Maandazi na cakes aina mbalimbali. Sikuomba au kutafuta ushauri kwa mtu yeyote. Pia sijafanya research ya uhakika kuhusu mahitaji halisi ya hizo bidhaa ninazotaka kuingiza sokoni. Pia sijafanya utafiti kuhusu ushindani wa hii biashara. Nimeamua kuchukua RISK 100% katika kuwekeza huko kwenye bakery. Kwahiyo bado sijaelewa / sijajua kama nipo njia sahihi au nimekosea. Naomba ushauri na uelewa wenu kwenu hii biashara.

Hadi sasa nimefanikiwa kupata vitu vifuatavyo;
- Machines- 3 Ovens ( moja kubwa inaingiza paltes 6 na nyingine mbili ni ndogo zinaingiza plates 2 kila moja); 1 Mixer aina ya B30; Shelf; 30 Oven Plates,
-Nimepanga Jengo na kulifanyia ukarabati kulingana na mahitaji ya kazi.
-Nimesajili jina la biashara
-Nimeshapata na TIN
-Nimeshapata leseni

Vitu vinavyohitajika kwa sasa ni;
-Connecting service line ( electricity) kwenye jengo ambalo nimeshafanya wiring
-TFDA authorization
-Source of more finance
-Hard working, knowledgeable and skilled person ( Baker) ambaye ataweza kutengeneza bidhaa mbalimbali
-Bread slicer
-Manager and cashier
-Marketing and sales person
-Distributor

Je mnaonaje wakuu? Je nipo sahihi? Nawakilisha

WADAU WENGINE WANAOHITAJI UFAHAMU WA BIASHARA HII





MICHANGO YA WADAU

Ni biashara nzuri sana kama utakuwa Makini sana, ni biashara ambayo inataka umakin wa hali ya juu sana maana inshu ya kuibiwa n 30% kutapeliwa 20% na kuchelewesja malipo 40% na 10% faida aikisimamia mtu.
USHAULI WANGU
¹. Kaa mwenyewe vitengo nyet kama uhasibu, manunuzi na kutoa mzigo. Lengo uijue kwanza biashara
². Sehem kubwa ya biashara inategemea na future yako,
³. Tegemea changamoto nyingi ambazo hukuwahi kuzisikia hapo kabla kutoka kwenye washauri wako
⁴. Tafuta wasambazaji walioko sokon (wakongwe) hao ndio watakutangazia biashara kirahisi.
5. Tafuta Sheff mzuri wa mixer, oven, mchomaji wa maandaz pia, ukipata watu wazuri ktk product zako watu watajaa tu.
Pia biashara hii n popote kikubwa ni wewe unavyo ji brand.
UKIZINGATIA HIVYO KUNA VITU UTAVIEPUKA. JUNDIKI BAKERY SHINYANGA. (Nimeyapitia sana wakat nafungua ofisi yangu 80% niliyo elekezwa sikuyakuta)
 
Back
Top Bottom