Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Asante sanaKuna uzi upi kwenye Stick
angalia hapa chini utakuta majibu yako
Biashara ya Bakery: Mbinu, ushauri na changamoto zake
Uko sahihi balaaa wala huna haja ya research nakushauri tafuta baker mzuri walio cheap na wazuri wanapatikana burundi ,nenda si ghari hadi kigoma kwa basi ni 60 elfu hadi bujumbura na hadi bujumbura ni 20 elfu kwenda kurudi na kulala +kula haizidi 300,000 ila utawakula mikate mitamu africa nzima pale na wanavijua viungo vyao vya siri mkate unanukia ka pilau,na unaisikia harufu ya ngano harisi radha usisemeSalaams JF,
Nilipata wazo la kuanzisha bakery maeneo ya sinza. Products ni ; Mikate, Maandazi na cakes aina mbalimbali. Sikuomba au kutafuta ushauri kwa mtu yeyote. Pia sijafanya research ya uhakika kuhusu mahitaji halisi ya hizo bidhaa ninazotaka kuingiza sokoni. Pia sijafanya utafiti kuhusu ushindani wa hii biashara. Nimeamua kuchukua RISK 100% katika kuwekeza huko kwenye bakery. Kwahiyo bado sijaelewa / sijajua kama nipo njia sahihi au nimekosea. Naomba ushauri na uelewa wenu kwenu hii biashara.
Hadi sasa nimefanikiwa kupata vitu vifuatavyo;
- Machines- 3 Ovens ( moja kubwa inaingiza paltes 6 na nyingine mbili ni ndogo zinaingiza plates 2 kila moja); 1 Mixer aina ya B30; Shelf; 30 Oven Plates,
-Nimepanga Jengo na kulifanyia ukarabati kulingana na mahitaji ya kazi.
-Nimesajili jina la biashara
-Nimeshapata na TIN
-Nimeshapata leseni
Vitu vinavyohitajika kwa sasa ni;
-Connecting service line ( electricity) kwenye jengo ambalo nimeshafanya wiring
-TFDA authorization
-Source of more finance
-Hard working, knowledgeable and skilled person ( Baker) ambaye ataweza kutengeneza bidhaa mbalimbali
-Bread slicer
-Manager and cashier
-Marketing and sales person
-Distributor
Je mnaonaje wakuu? Je nipo sahihi? Nawakilisha
===========
SIMILAR CASES:
===========
Jan 19, 2012:
Nipo Arusha
Nitafute kwenye namba 0712823601 nauza iyo oven ya kuoka mikate,cakes n.k
Sorry kaka nilikuwa nimetowe kidogo mtandaoni, bado ipo hiyo ovener
Nitafute kwenye namba 0712823601 nauza iyo oven ya kuoka mikate,cakes n.k
Jumuisha gharama ya work permit na usumbufu wa kuipata.Uko sahihi balaaa wala huna haja ya research nakushauri tafuta baker mzuri walio cheap na wazuri wanapatikana burundi ,nenda si ghari hadi kigoma kwa basi ni 60 elfu hadi bujumbura na hadi bujumbura ni 20 elfu kwenda kurudi na kulala +kula haizidi 300,000 ila utawakula mikate mitamu africa nzima pale na wanavijua viungo vyao vya siri mkate unanukia ka pilau,na unaisikia harufu ya ngano harisi radha usiseme
Upo sehem gan