kuna jamaa anaitwa Thomas mikate,yeye yupo DAR, anuaza mikate mingi sana kwa kutwa,ni rafiki yangu kwa uteja kwake.
-hana brand wala Duka la mikate yeye anauzia ktk gari lake,ni suzuki mini van,kadogo hivi rangi ya blue na pia anayo nyeusi,huwa anapaki station opposite TRA offices ,jioni na pia huwa anakuwa maeneo ya posta karibu na CRDB holland house or ifm area.
mwaka 2009 aliniambia kuwa anapata daily profit ya 140,000. na kuwa mikate yake huwa haibaki.jaribu kumtafuta atakushauri ni mtu muelewa,ila hapendi watu wa TRA(kodi etc)walishawahi kumsumbua ndio maana hana BRAND ya mikate yake,
inasadikika kuwa bakressa wa Azam huwa ananunua mikate yake kwa matumizi yake na wajukuu zake.