masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
ni gharama sana yabidi ujipange ni big investmentMuisrael ungetaja na bei za hvyo vifaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni gharama sana yabidi ujipange ni big investmentMuisrael ungetaja na bei za hvyo vifaa
kufuga ng'ombe inalipa masai dada
kaka zangu wanafuga
emvu nielezee economically faida zake chambua hapa
waulize mabros
Wenyewe wanafuga kama fahari si wajua tena sisi, eleza hapa bana acha hizo
sasa km wana ng'ombe ww nunua maziwa kwao then supply viwandani utasonga kdg
masai dada unataka kuwa na wewe bilionea wa viwanda?
eleza ufugaji wa ngombe wa aina gani
wa maziwa wa nyama and the like mbona una bana ujuzi
wa maziwa dada ila inahitaji subira mwanzoni kadri ya maziwa kuwa mengi ndo kipato kunazidi
Kuhusiana na Mtaji inagemeana unataka kutengeneza bidhaa gani na kwa kiwango gani kwa siku etc..Mfano kwa minimum hata 3 mill unaweza anaza kwa keki ndogo . Kwa kununua mixeer ya kg 5 kwa laki 9, Oven single deki ya 1.5 then laki sita ikawani pans na ingredients.
Vifaa vinavyohitajika kwa mradi wa bakery yaan unatengeneza wa keki, mikate, biscuits etc ni kama ifuatavyo commercial Oven, mixer mashine, slicer, improver, kabati, Pan/ filling, nozzels and mashine, decorations accesories, neckbag na vingine vidogo vidogo.
Maduka ya vifaa nayafahamu baadhi ,yako ambayo ni ya vifaa bei rahisi na mengine juu kidogo.
1.Maduka ya vifaa expensive ila vifaa vyao vina ubora wa hali ya juu. Duka la kwanza liko mtaa wa samora avenue inatazamana na ppf house, duka la pili liko posta mkabala na wizara ya sayansi na taknolojia na duka la tatu liko tazara veterani pale Penye petrol station.Haya. maduka vifaa vyao vinatoka UK, turkey na baadhi ya nchi za ulaya.
2.vifaa vya at least bei rahisi ni kutoka China maduka ni moja liko kariakoo mtaa wa agreey ukimaliza bakhresa mbele kuja jengo lina hospitali. Pili ni maduka mawili yanatazamana na kituo cha mafuta bigborn....
Nakaribisha uwanja wa maswali kwa jambo lolote kuhusiana na bakery.
....stand by HD generator, chumba, gharama za TFDA etc .....wawe angalau na 50-80mKuhusiana na Mtaji inagemeana unataka kutengeneza bidhaa gani na kwa kiwango gani kwa siku etc..Mfano kwa minimum hata 3 mill unaweza anaza kwa keki ndogo . Kwa kununua mixeer ya kg 5 kwa laki 9, Oven single deki ya 1.5 then laki sita ikawani pans na ingredients.
Vifaa vinavyohitajika kwa mradi wa bakery yaan unatengeneza wa keki, mikate, biscuits etc ni kama ifuatavyo commercial Oven, mixer mashine, slicer, improver, kabati, Pan/ filling, nozzels and mashine, decorations accesories, neckbag na vingine vidogo vidogo.
Maduka ya vifaa nayafahamu baadhi ,yako ambayo ni ya vifaa bei rahisi na mengine juu kidogo.
1.Maduka ya vifaa expensive ila vifaa vyao vina ubora wa hali ya juu. Duka la kwanza liko mtaa wa samora avenue inatazamana na ppf house, duka la pili liko posta mkabala na wizara ya sayansi na taknolojia na duka la tatu liko tazara veterani pale Penye petrol station.Haya. maduka vifaa vyao vinatoka UK, turkey na baadhi ya nchi za ulaya.
2.vifaa vya at least bei rahisi ni kutoka China maduka ni moja liko kariakoo mtaa wa agreey ukimaliza bakhresa mbele kuja jengo lina hospitali. Pili ni maduka mawili yanatazamana na kituo cha mafuta bigborn....
Nakaribisha uwanja wa maswali kwa jambo lolote kuhusiana na bakery.
Wakuu naomba msaada wa kujua vifaa vinavyohitajika ili kuanza hii biashara!! Nataka kuanza katika small scale na kuajiri watu wachache pia kupata vifaa ambavyo siyo complicated, Je mtaji kiasi gani utatosha?
mkuu hongera kwa kuthubutu ,jali ubora wamikate ,muonekano ,ujazo ,na taarehe za kuisha kwa matumizi ,yaani expire date .pia zingatia sana usafi ukijua kuwa unadeal na afya za mtu zaidi ya mmoja kosa moja litakugharimu ,na pia distibution yako pia uwe na network nzuri usiwaze super market baadhi wanatengeneza bidhaa zao wenyewe ,angalia maduka ya kawaida ,n.kHongera kwa Kuthubutu.
kupata baker mzuri siyo jambo rahisi,ila inawezekana kumuiba mmoja kutoka ktk bakery nyingine,hapo inabidi utembelee bakery nyingine ujue average ya mishahara ,then uanze zoezi la kupata a good baker.uichukue unemployed baker ,tafuta aliyekazini umuamishe.
2.distribution nzuri ni via watu wa baiskeli/pikipiki.hapo ukifanikiwa kinachobaki ni smiles all the way to the bank