E Edwin Peter Soloma New Member Joined Apr 15, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Apr 15, 2017 #1 Mimi ni mkazi wa wilaya ya Chunya, Nategemea kuanza kuotesha miti na maua kwa ajili ya biashara. Je, inaweza kuniletea tija? Pia ni vitu gani muhimu vya kuzingatia? NATEGEMEA MAWAZO YENU
Mimi ni mkazi wa wilaya ya Chunya, Nategemea kuanza kuotesha miti na maua kwa ajili ya biashara. Je, inaweza kuniletea tija? Pia ni vitu gani muhimu vya kuzingatia? NATEGEMEA MAWAZO YENU
ip_mob R I P Joined Nov 14, 2016 Posts 268 Reaction score 648 Apr 15, 2017 #2 Kabla ya kuanza kuotesha hiyo miti na maua una business plan?