BIASHARA YA UOTESHAJI MITI

BIASHARA YA UOTESHAJI MITI

Edwin Peter Soloma

New Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni mkazi wa wilaya ya Chunya,
Nategemea kuanza kuotesha miti na maua kwa ajili ya biashara. Je, inaweza kuniletea tija? Pia ni vitu gani muhimu vya kuzingatia?
NATEGEMEA MAWAZO YENU
 
Kabla ya kuanza kuotesha hiyo miti na maua una business plan?
 
Back
Top Bottom