mahadhialy Member Joined Oct 19, 2019 Posts 45 Reaction score 24 Jun 25, 2020 #1 Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi. 1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze taratibu hizi; (a)Gharama za uanzishaji.
Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi. 1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze taratibu hizi; (a)Gharama za uanzishaji.
Premij canoon JF-Expert Member Joined May 27, 2018 Posts 1,203 Reaction score 2,771 Jun 26, 2020 #2 mahadhialy said: Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi. 1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze taratibu hizi; (a)Gharama za uanzishaji. Click to expand... Uzi wako umeishia njuani mkuu ndomaana hamna wachangiaji! Nakushauri tuliza kichwa kisha andika uzi mpya wa kueleweka.
mahadhialy said: Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi. 1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze taratibu hizi; (a)Gharama za uanzishaji. Click to expand... Uzi wako umeishia njuani mkuu ndomaana hamna wachangiaji! Nakushauri tuliza kichwa kisha andika uzi mpya wa kueleweka.