Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Wakuu salama.
Hii fursa nimeiona huku Kanda ya ziwa.
Kimsingi Mimi ni mtumishi wa Umma, zaidi ya mshahara sina chanzo kingine.
Sasa nimefanya tafakur na kuibuka na wazo la kuchukua mkopo CRDB ninunue gari ya abiria. Ikiwezekana niweke rut ya Geita DC - Geita town. au Katoro - Chato.
Wazo langu nipate gari ya pesa isiyozid mil. 15 ,mkopo huo uwe wa Miaka 7
Naomba ushaur , maoni n.k Kwa mwenye lolote juu ya Aina ya gari itayofaa. Changamoto ambazo nijiandae kukabiliana nazo n.k