Biashara ya usafirishaji wa anga ni biashara kichaa, sijui nani alimshauri Hayati Magufuli

Biashara ya usafirishaji wa anga ni biashara kichaa, sijui nani alimshauri Hayati Magufuli

Kuna ndege zaidi ya 4 zimepark
uwezi amini leo ndani ya nchi usafiri utoshelezi wa ndege juzi pression imepata itirafu imeshindwa kufika kahama yani mtu unapanda ndege dar to mwanza kisha una panda basi tena kuja kahama.
sijui kuna watu wanaelewa hapa ,muwaeleweshe
 
Kiujumla biashara ya usafirishaji yoyote haitakiw kufanywa na hii serikali iliyojaa ng'ombe
 
Ethiopia wanafanyaje?
hivi mtanzania mwenzangu unatumia kutafakari haraka kama processor ya kompyuta au?
ethiopia walichoangaria wao kijografia hipo center ya africa na sehemu kubwa ya ndege zinaweza kutua na wao wakasafirisha.
sasa tanzania kijografia ingejiwekea ndani ya mikoa yake kuboresha viwanja ili huduma za ndege binafsi kuwa nyingi.utapanda ndege lini ndugu yangu
 
Back
Top Bottom