uwezi amini leo ndani ya nchi usafiri utoshelezi wa ndege juzi pression imepata itirafu imeshindwa kufika kahama yani mtu unapanda ndege dar to mwanza kisha una panda basi tena kuja kahama.
sijui kuna watu wanaelewa hapa ,muwaeleweshe
hivi mtanzania mwenzangu unatumia kutafakari haraka kama processor ya kompyuta au?
ethiopia walichoangaria wao kijografia hipo center ya africa na sehemu kubwa ya ndege zinaweza kutua na wao wakasafirisha.
sasa tanzania kijografia ingejiwekea ndani ya mikoa yake kuboresha viwanja ili huduma za ndege binafsi kuwa nyingi.utapanda ndege lini ndugu yangu